Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

Wanawake 20 wamewakimbia na kuanzisha chama chao bungeni huku nyie wakiwalisheni kwa ruzuku kwa jinsi mlivyo bamia.....vi!
Nani kakwambia ruzuku inatokana na wabunge,usilolijua kaa kimya au uliza ueleweshwe.
 
Akili mbovu kama za jiwe.
 
Ahsante mkuu
 
Wana diaspora wote msisikilize huu ushauri wa kubwa jinga. Kuanzia lini tangawizi, vitunguu swaumu na pilipili vikaua virusi?
Mungu hakukupa akili zako ili zitumiwe na wanasiasa washamba, Mungu alikupa akili ili uzitumie wewe mwenyewe.
 
hunaandika sababu maalum why wakatae chanjo.
pili lazima wafuate sheria za nchi walizomo. hawataki waache wanachokifanya huko warud myumbani
 
Mleta mada Unatakiwa uvue hilo koti la upumbavu ulilovaa! kila mtu anapambana na maisha yake! kuchanjwa au kutochanjwa ni uhuru wa mtu na sio hisani au takwa la mtu. Acha umbea wa kijinga!
 
Majungu tena hayo, Tumesema lazima tujiridhirishe kwanza na chanjo za wageni kama ni salama- Hiyo chanjo imepithibitishwa na mkemia mkuu wetu?
Mkemia yupi ?! Mbona mlimpiga chini kisa papai na kondoo kuwa positive na negative !!

Odhis *
 
Si kachanjwa huko aliko tatizo nini!
Majinga ya CCM kitu ambacho hayajui ni kwamba nchi za nje zitawachanja watu wao hapahapa Magufuli akiangalia hasa wafanyakazi wa Balozi zao ambao ndo peke yao wanavaa barakoa ili wasipeleke Covid-19 kwao kwa waliochanjwa wote pamoja na Wabongo wanaoishi huko. Juhudi ingefanywa wafukizwe wageni wote wasituletee balaa la chanjo!
 
Kapige mswaki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…