TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

Baloz alikosa hiyo idea akawa anatumia za kijapani??
 
Vipi kuhusu ajali ya Edward Moringe Sokoine?
 
labda asali haitoshi mkuu na siku imefika
 
Sure mwendo kasi ni hatari sana, hasa usiku. Sio kila kifo ni mpango wa Mungu
Mkuu Wimbo wa Taifa, National Anthem, kwanza ni kweli, sio kila kifo ni mpango wa Mungu, vifo vingine ni mpango wa mwovu shetani, ila anayeruhusu roho itoke ni mmoja tuu!, Mungu!. Hivyo lolote likitokea, hata kama ni mipango ya shetani, anayeruhusu roho itoke ni Mungu!, ndio maana hata pale Dodoma kwenye zile pyu pyu, zikamiminwa zaidi ya 30!, 16 zikampata na hakufa!, ila ilikuwa ni kazi ya shetani!, Mungu hakuruhusu kifo!, tena usikute wahusika ni wale wale ambao ukikosa kutimiza malengo kwa 3 tuu, unaandika maelezo!.

Maisha na matukio yanaweza kuwa ni kazi ya shetani lakini uhai na kifo ni kazi ya Mungu.

RIP Balozi Mushi!.
P
 
Vifo vya wakubwa huambataba na vitetesi sana. Kana kwamba wao hawastahli vifo... Hata anko Magu kifo chake kuna vitetesi lukuki...

Tatizo hatuna uchunguzi huru unaofanyika kuthibitisha kama aliuawa au ni ajali
 
Hii gahawa imewekwa chumvi sana...wabongo nawanyooshea mikono kwa kutunga stori. Kwenye stori yako umesema dereva alihitaji kumsaidia bosi na bosi akakataa na baada ya lisaa limoja wakapata ajali na wote wakafariki. Sasa kama wote walifariki ni nani aliyesikia yakisemwa uliyosema?
 
roho hutolewa na roho inayo tawala na kuongoza maisha yako. ( wapi ume submit nafsi - surrender ).

kuna mahala panasema -

Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.”

Kuna wengine wanaweza toa roho ya mtu ( hasa kama hayupo kwenye mpango wa Mungu )

Yule wa dodoma alikuwa bado yupo kwenye mipango ya Mungu ndio maana alipona, kama angekuwa nje ya assignment na mipango ya Mungu ilikuwa nitoleee
 
Siku zako zakuishi zimekwisha..... My balozi Kila la kheri, Mungu ni mwema
 
Usafiri mzuri ni wa Gari una enjoy sana vitu vingi huko barabarani including mandhari , ila unatakiwa uwe makini sana! Unatakiwa umsome dereva aliyepo mbele yako na pia umsome anayeonekana kwenye side mirrors zako ! Ukifanya hivyo na ukawa unaendesha kwa mwendo ambao sio wa kasi na usiwe umelewa kilevi chochote kile hata ukiendesha Crown ya Bangladesh utakuwa salama siku zote !!
 
Huwa kunakua na wasindikizaji,hivyo maelezo ya kabla ya safari kuanza,husikika na hao wanaowasindikiza wanaosafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…