TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

Balozi hana uzowefu wa kuendesha long trip, angemwachia dereva mwenye uzowefu wa safari ndefu tu amuendeshe, na wengi watapata ajali hasa wale madereva wa msimu!!
 
Kama ameungua it means gari iliwaka pia, lakini habari yenyewe haijakamilika
Gari GRS180 imenishtua, na kwa umiliki ni gari yake mwenye Celestine joseph mushy .. ingekuwa ya mtu mwingine tungesema labda mtego.. Kuwaka moto napo ndio kichwa kinawaka ni mzinga wa aina hani huo.. crown zinachinja sana watu ila kuripuka nadra sana
 
Hiyo ajali mbona ina maelezo pungufu?

Ni Gari imepinduka? Gari imegonga au kugongwa? Gari imeshika tu Moto? Mbona hali ya Gari haielezwi Popote? Tunaambiwa mwili umekutwa umeungua tuu?

Anyway, Poleni wafiwa..
 
Mbona hata picha ya gari yake haikuwekwa ili tujue kama gari iligonga sehemu, iligongwa, ilipinduka, au ilikuaje mpaka marehemu kukutwa ameungua moto.
 
Alipoulizwa kuhusu kifo cha balozi huyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine amesema wizara yake haijapata taarifa rasmi, wakipata watathibitisha hilo.
"Hatujapata taarifa hizo, tuta-comfirm (tutathibitisha), tutakwambia," amesema Balozi sokoine
 
Kumbe una umri mkubwa namna hiyo halafu unaletaga utumbo tu humu.
 
Tutapata habari kamili, kuhusu Crown kuchinja watu wao ndio wanajichinja, crown ya 12M, used ya Japan ikaingia bongo ikawa used tena, ina editiwa odo isome 90,000 km kumbe gari imetembea 280,000 kms n services za kuunga unga..
 
Mbona hata picha ya gari yake haikuwekwa ili tujue kama gari iligonga sehemu, iligongwa, ilipinduka, au ilikuaje mpaka marehemu kukutwa ameungua moto.
Nimeangalia kutumia hiyo namba yake ya usajili , na ikaleta GRS1800042051 na owner ni Celestine joseph mushy. Tuone mazingira ambayo hari imepata ajari ndio tutajua, kama imefanyiwa setup au ajari kama ajari ya chombo au uzember wa dereva au ya kutengezwa
 
Top top top secret well Sina neno. Kila mtu na kazi yake na miiko yake.. Amen
 
Hatari Sana Ya Kujihoji Ni Mengi Sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…