mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Ndio, lakini yeye anaonekana, aliye nyumbani na mwenye majukumu ya kuendesha nchi haonekani wiki tatu sasa. Hata kwenye ibada zake za siasa za kila jumapili ameshindwa kufika, na kuna chance kubwa jumapili hii pia hatakuwepo.Aliyeuliza Rais yuko wapi - si yuko nje ya nchi pia!
Ha ha haYaani balozi Namibia ndo atoe taarifa, huku waziri wa mambo ya nje yupo, msemaji wa serikali yupo, mkurugenzi wa habari Ikulu yupo, kuna kitu hakipo sawa Tanzania.
Unafeli.Hivi huyu Kipilimba kumbe yuko huko Msumbiji, ndio maana machafuko hayaishi kule calbodelgado.
Bwashee tuondolee huu utata Bwashee maana we uko jikoni,Papaa mukulu yuko wapi Bwashee,nimemisi hotuba zake.Mungu ni mwema wakati wote.
Wajinga bado mko wengi kujenga uwanja wa ndege Chato ndio hatutakiwa kujuaKama hujui nyamaza. Trilion 1.5 hazikwenda mifukoni mwa Magufuli. Serikali inajua ilifanyia nini. Kuna vitu vingine siyo lazima uambiwe. Nchi yoyote ina mambo yake ya siri.
Weka ukae umsubiri JPM chuma cha mjerumani.Kikoda kingine naweka hapa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tunawajua lugha zenu....kijiba kimekukaba....Ha ahahaaaa! Koo na kifua hicho vitapasuka, Kajifukize acha ubishoo!!! HA hahaa hahahaaa!!!!Unafananisha
Ukimuona unitag mkuuKwa sasa Magufuli ana mtihani mkubwa sana, maana msaidizi wake wa Ikulu amefariki. Lazima aende kwenye msiba.
Muda utaongeaAtaendaje kwenye msiba wakati yeye mwenyewe yuko halfdead
C vijana wamempa taarifa bos wa zamani na yeye kaileta kusaidia kutia uzitoYaani balozi Namibia ndo atoe taarifa, huku waziri wa mambo ya nje yupo, msemaji wa serikali yupo, mkurugenzi wa habari Ikulu yupo, kuna kitu hakipo sawa Tanzania.
Ukimuona unitag mkuu
huyu bwana anakwenda kuungana na rais wa Nigeria kufanyia kazi wodiniMuda utaongea
Tupo hapa Kanisani mida hii kwa ibada ya njia ya msalaba!Bwashee tuondolee huu utata Bwashee maana we uko jikoni,Papaa mukulu yuko wapi Bwashee,nimemisi hotuba zake.
Hayupo safarini mkuu nazani moja ya watu waliosafarini dk modestusi ndio maana ameenza toa habari maana kassim na chalamila wamekuja kwa nguvu maana mbobezi anawafundisha semeni hivi kwa muda huuUkimuona Dr Abbas, msemaji wa serikali amekaa kimya bila kujibu hoja hii, kuna jambo
Kwa sasa Magufuli ana mtihani mkubwa sana, maana msaidizi wake wa Ikulu amefariki. Lazima aende kwenye msiba.
Mkuu naona una ka huzuni hivi; kapi hako maana Rais wetu ni mzima wa afya na yupo kazini Ikulu kama kawa.Mungu ni mwema wakati wote.
Kumbe Balozi wa Nchi anamwakilisha nani - Waziri au Rais? Obviously anamwakilisha Rais of course ndio maana media kubwa kama Reuters imechukulia seriously comments za Balozi wa Tanzania nchini Namibia, wanajua taarifa hizo came from horse's mouth, kwa bahati mbaya au kimakusudi wasio mtakia mema Dk. Magufuli wana gross misinterpret kauli ya Balozi - wanataka kusikia habari mbaya mwanzo mwisho.Kwani balozi ndiye amekuwa msemaji mkuu wa serikali? "I smell a very big rat on the whole issue".