Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

umri sio issue, Amiri jeshi akikutaka rejea kwa mstaafu cdf aliteuliwa akiwa kwenye retirement age,na katoboa miaka mitano.
 
umri sio issue, Amiri jeshi akikutaka rejea kwa mstaafu cdf aliteuliwa akiwa kwenye retirement age,na katoboa miaka mitano.
Lieutenant General Yacoub Mohammed !! Majina kama hayo tunayasikiaga Nigeria tu kumbe na huku wapo ??!!!
 
Huyu si Chief of Staff?? Kabadilishwa Lini Jirani yangu wa Bunju?
 
..ni miaka 60.

..ukifikisha 60 tu unakabidhi ofisi.

..mifano ipo waliofanya hivyo.
Mkuu, mbona nakumbuka kama miaka iliongezwa? Nakumbuka kwa wa vyeo vya chini, waliongezewa miaka 2 na wale wajuu ni zaidi.

Mabeyo hajaongezewa muda wa kustaafu lakini anaachia na 65. Ingawa naona yeye ni mkubwa kiumri kwa Mwamunyange, 63

Venance Salvatory Mabeyo is a Tanzanian General, and is the eighth Chief of Defense Force to lead the Tanzania People's Defense Force. He was appointed by President John Magufuli on 6 February 2017. Wikipedia
Born: July 1, 1956 (age 65 years), Busega
Education: Tanzania Military Academy
Rank: General

Years of service: 1979-Present
 
Jirani yake halafu usijue?? Usione, wala kusikia vile ving'ora?? Hujiulizi mbona siku hizi huvioni??
Kumbe!! Mara nyingi siku hizi natoka Mapema kabla yake na kurudi Usiku. Si unajua Barabara yetu. Sorry sikuwahi kusikia Uhamisho wake kwenye Media.
 
Mbona Jakaya CDF wake alikua Mwamunyange kutoka Mbeya?? Na sio Mkwere mwenzake?? Vivyo hivyo kwa Mkapa alikua Mboma na Waitara wote sio kutoka Mtwara??
 
Mbona Jakaya CDF wake alikua Mwamunyange kutoka Mbeya?? Na sio Mkwere mwenzake?? Vivyo hivyo kwa Mkapa alikua Mboma na Waitara wote sio kutoka Mtwara??
Mkuu Bususwa , kwanza enzi za Mr. Clean, au Mkwere, uliwahi kusikia tuhuma zozote za nepotism?. Lakini alipoingia tuu Bulaza, tuhuma hizi zikaanza kuvurumishiwa, kwanza akina sisi tulimtetea Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi! lakini zilipozidi hadi watu wakaanza kuleta ushahidi wa facts, akina sisi Tulitoa wito Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
P
 
Msisahau kuwa kwa Magufuli lolote liliwezekana.
Si ajabu angeweka hata mtu mwenye 75 kwa utashi wake nje ya katiba
 
Mbona Mwamnyange naye muonekano ulimtupa lkn alikuwa CDF bora tu?
Unataka mfananisha mwamunyange na huyu ? kacheki hata background zao utaelewa.. hata body structure zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…