BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
sheikh mwaipopo karibu kitimoto mdau wetuu wa kila siku
 
Nasikitika sana kuona mwanaume anaongea ongea sana
 
Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Uliipataje hiyo takwimu wewe?
 
Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Uzuri ni kwamba JF imeenea dunia nzima Kwa maana hiyo hata Tanzania iko Kila mahali. Tunajua vizuri mikutano ya CCM kuhusu DPW inavyofanyika. Niko hapa kwangu Mafinga lakini wiki juzi watu walisombwa hapa kupelekwa Mbeya kwenye mkutano wa Chongolo uliohutubiwa pia na Tulia na Wasira. Watu walitolewa Hadi Rukwa na Songwe halafu unajifanya kuongelea Mkutano uliofanikiwa kimkakati pale Bulyaga?
 
Yaani wahurumie tu! CCM propaganda ni nyingi sana!
 
Matokeo ya kumponda JPM enzi za uhai wake na hata alipofariki ndio haya. CHADEMA kwa sasa hawana kibali cha kupinga ufisadi sababu enzi JPM anapambana na huo ufisadi walimpinga na kumuita dictator, wakamuacha apambane mwenyewe akishirikiana na wananchi.

Leo hii huwezi kupinga ufisadi wa nchi hii bila kumnukuu JPM kitu ambacho CHADEMA hawawezi kufanya. Ni bora chama kipya chenye vinasaba vya kupigana na ufisadi serious kianzishwe maana wananchi wengi wanaona CHADEMA na CCM ni wale wale maana wengi wao walikuwa against JPM. Binafsi naami mkutano ungeitishwa na SAUTI ya wananchi ungehudhuriwa na watu wengi kuliko ule wa jana ambao ulibebwa na CHADEMA. Kiufupi wafuasi wa JPM ambao ndio wengi hawezi ungana na CHADEMA ni bora wabaki CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…