Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Watanzania wa leo wameamka huwezi wadanganya kipumbavu,pili huwezi kuwageuza ngazi ya kupandia,ruzuku mle wenyewe watanzania wajinga muwapeleke mbiombio nyie dubei,ubelgiji,canada, German na wake na watoto wenu.Jana walikosa vyote mbaya zaidi mtoa mada hajaamini na alichokiona licha ya kupiga kelele nyingi hapa jukwaan
Jana nilifurahi zaid jana wamepayuka leo.hum kimya siwaaonWatanzania wa leo wameamka huwezi wadanganya kipumbavu,pili huwezi kuwageuza ngazi ya kupandia,ruzuku mle wenyewe watanzania wajinga muwapeleke mbiombio nyie dubei,ubelgiji,canada, German na watoto wenu.
Sawa dada,asante.Punguza wivu kidogo
Asante kwa mrejesho posa nitaangaliaSawa jana dada yangu amekusifia kwa kumfikisha kibo vizuri lete posa.
Ikiwezekana.Ulitaka wapande hadi juu ya paa za nyumba?
Ila serikali yako iliyojaa royal families huoni hilo, awamu ya kwanza watoto wengi wa vigogo hapa Dar,tulisoma nao hapa Mbuyuni, Bunge, muhimbili, Tambaza,Azania, Mkwawa, Leo utawaona Havard, UCT, Wits, UK etc, wewe endelea kulalama humuWatanzania wa leo wameamka huwezi wadanganya kipumbavu,pili huwezi kuwageuza ngazi ya kupandia,ruzuku mle wenyewe watanzania wajinga muwapeleke mbiombio nyie dubei,ubelgiji,canada, German na wake na watoto wetu.
ITS ENOUGH,KUCHOCHEWA NA KUPELEKESHWA OVYOOVYO!
Hiyo option ya nchi kupinduliwa na jeshi ccm haitilii maanani kabisa wanasahau kuwa when the chips are DOWN Wana jeshi wanakuwa upande wa wananchi walio wengi ; na nyie watawala mnaweza kuliwa vichwa!!!Prof Kitila anataka Jeshi lipindue nchi ndio tujue kuwa Mkataba wa Dp world ni mbovu?
Huyo jamaa ni mpumbavu sanaUmesikia kuna mtu kasoma Wakorintho hapo ?
Wenye macho waliona . .. wewe ishi na propaganda zako mfu !Nipo hapa ninachojionea ni banda tu la red cross, watanzania sio wajinga na so kila mtu angependa kugeuzwa ngazi za mwanasiasa uchwara,wanasiasa wakiwapata wapuuzi wa kuwasikiliza hufurahi kweli maana ndio mtaji wao!
Majizi yaliyoajiriwa na yanayolindwa kwa Hali na Mali na serikali ya rangi ya mchicha !Mikutano ya kutetea majizi bandarini
Yani na wewe nae ni sehemu ya hilo bandaNipo hapa ninachojionea ni banda tu la red cross, watanzania sio wajinga na so kila mtu angependa kugeuzwa ngazi za mwanasiasa uchwara,wanasiasa wakiwapata wapuuzi wa kuwasikiliza hufurahi kweli maana ndio mtaji wao!
Wew tayari Ni chawa mnyonya damu huwezi kubali mirija izibeYaani hiki kikundi cha magaidi cha buana mbowe kifutwe tu. Matapeli kabisa. Hakuna mtanzania atakayewaamini. Walimdhihaki na kumtusi Dkt Magufuli na kujipendekeza kwa Dkt Samia ila sasa tabia yao halisi ilishajulikana ni wanafiki hawana ajenda ktk nchi hii zaidi ya kupinga kila kitu.
Mbowe alipita huko na Mukya wake😂Dubai kuna apartment maalumu kwa ajili ya asante kwa wema wako
Ni magaidi tu na wanafiki wakubwa. Walimdhihaki sana Dkt Magufuli, mpaka kifo chake mlishangilia, hivyo hakuna mtanzania atakaye waelewa wajinga nyie. Mnaanza kutudanganya eti bandari imeuzwaWew tayari Ni chawa mnyonya damu huwezi kubali mirija izibe