Hamna wabunge pale, bali kuna wapigania tumbo ndani ya jengo la bunge. Tena huyo bibi wa lile jengo ndio mjinga namba moja.Mtumishi wale wanaokaa nayule bibi pale Dodoma unataka sema ni "kikao cha kitchen Party" , kisa tu mwendazake alise "nileteeni huyo"....?
Shetani hajawahi kushangiliwa popote. Na kama ulikuwa mfuasi wa dhalimu hakuna mtu anataka umuelewe. Na kama ni kura hakuna anayetaka kura yako. Wape kura hao hao majizi wenzako wa CCM.Ni magaidi tu na wanafiki wakubwa. Walimdhihaki sana Dkt Magufuli, mpaka kifo chake mlishangilia, hivyo hakuna mtanzania atakaye waelewa wajinga nyie. Mnaanza kutudanganya eti bandari imeuzwa
We Mvulana , "ulitaka Mbowe apite na dada yako?Mbowe alipita huko na Mukya wake😂
Upuuzi mtupu dogo.We Mvulana , "ulitaka Mbowe apite na dada yako?
Unataka ushemeji wa lazima?
Tindo huu mtanange mpaka sasa mshindi ni Dkt Magufuli kama ilivyokuwa kwa Dkt Kikwete hata Dkt Samia atashinda tu na ujinga wenu wa kuzusha mambo. Kikundi chenu cha kigaidi cha hicho chama kilichokufa kinaenda kufutwa very soon.Shetani hajawahi kushangiliwa popote. Na kama ulikuwa mfuasi wa dhalimu hakuna mtu anataka umuelewe. Na kama ni kura hakuna anayetaka kura yako. Wape kura hao hao majizi wenzako wa CCM.
Wakristo hamuwezi kuendesha harakati yoyote pwani ikafanikiwa labda moshi, arusha na mbeya. DSM ina wenyewe. Sheikh Ponda angepiga takbira moja tu uwanja wenu ungejaa.Barua ya katazo la mkutano ya msajili wa vyama vya siasa tishio la sheikh Mwaipopo na hujuma kadha wa kadha ni factors muhimu pia. Hata hivo upo ujumbe umewafikia watu, chumvi huwa ni ndogo kuliko mboga lakini...
Tanganyika ishakufa kwa idhini ya Nyerere mwaka 1964.Hapa sizungumzii dini bali ninazungumzia bandari na Tanganyika yetu.
Kufa kwa cdm ndio matamanio ya kila mwanaccm, ila kwa bahati mbaya uwezekano wa kuifuta cdm kwa ushawishi wa kisiasa hilo limeshawashinda ccm. Ndio maana unaona wizi wa kura, kuwabambikia kesi, hujuma za wazi nk. Ushindi gani walipata huyo Kikwete na Magufuli? Au kuwa rais tayari kwako ndio kipimo cha ushindi? Kwa umasikini huu huo ushindi waliupata kwenye nini?Tindo huu mtanange mpaka sasa mshindi ni Dkt Magufuli kama ilivyokuwa kwa Dkt Kikwete hata Dkt Samia atashinda tu na ujinga wenu wa kuzusha mambo. Kikundi chenu cha kigaidi cha hicho chama kilichokufa kinaenda kufutwa very soon.
Kilishakufa mpaka hapo, kilichobaki ni mifupa tu. Credibility yao ilipotea na kufa baada ya kumpokea Lowasa baada ya mbowe kulipwa rushwa na kumtishia kifo Dkt Slaa, na kibaya zaidi awamu ya mchapa kazi Dkt Magufuli akitekeleza yale yote waliyohubiri kipindi cha Dkt Kikwete kama udhaifu ila wao wakamgeuka na kuanza tena kusema afadhali Dkt Kikwete, ona sasa hivi yanavyopinga uwekezajiKufa kwa cdm ndio matamanio ya kila mwanaccm, ila kwa bahati mbaya uwezekano wa kuifuta cdm kwa ushawishi wa kisiasa hilo limeshawashinda ccm. Ndio maana unaona wizi wa kura, kuwabambikia kesi, hujuma za wazi nk. Ushindi gani walipata huyo Kikwete na Magufuli? Au kuwa rais tayari kwako ndio kipimo cha ushindi? Kwa umasikini huu huo ushindi waliupata kwenye nini?
Kwa ule uhayawani tuliouona uchaguzi wa 2020 ni bora ukae kimya.Kilishakufa mpaka hapo, kilichobaki ni mifupa tu. Credibility yao ilipotea na kufa baada ya kumpokea Lowasa baada ya mbowe kulipwa rushwa na kumtishia kifo Dkt Slaa, na kibaya zaidi awamu ya mchapa kazi Dkt Magufuli akitekeleza yale yote waliyohubiri kipindi cha Dkt Kikwete kama udhaifu ila wao wakamgeuka na kuanza tena kusema afadhali Dkt Kikwete, ona sasa hivi yanavyopinga uwekezaji
Wewe usijitie pressure bure mkuu kwani nani wa kuwapa madaraka hao wabaguzi wanaoharibu misingi ya kitaifa ya umoja na upendo! Hatutaki migawanyiko na udini wa CHADEMA. Lkn pia wanawatumia vibaya viongozi wa kikristo hasa wale wa kabila la wahaya .Siku CDM wakitwaa madaraka natembea uchi
Upo uchi, sehemu zako za siri ni ndogo tu na hazionekani, kwa mwandiko wako huu.Siku CDM wakitwaa madaraka natembea uchi
Bado sijaelewa mzeeTanganyika ishakufa kwa idhini ya Nyerere mwaka 1964.
Bandari anachukua DP WORLD mtu mwema kabisa aiboreshe na kuleta ufanisi. Umeelewa kijana?
subiri notes.Bado sijaelewa mzee
Am waitingsubiri notes.