BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

Mtumishi wale wanaokaa nayule bibi pale Dodoma unataka sema ni "kikao cha kitchen Party" , kisa tu mwendazake alise "nileteeni huyo"....?
Hamna wabunge pale, bali kuna wapigania tumbo ndani ya jengo la bunge. Tena huyo bibi wa lile jengo ndio mjinga namba moja.
 
Ni magaidi tu na wanafiki wakubwa. Walimdhihaki sana Dkt Magufuli, mpaka kifo chake mlishangilia, hivyo hakuna mtanzania atakaye waelewa wajinga nyie. Mnaanza kutudanganya eti bandari imeuzwa
Shetani hajawahi kushangiliwa popote. Na kama ulikuwa mfuasi wa dhalimu hakuna mtu anataka umuelewe. Na kama ni kura hakuna anayetaka kura yako. Wape kura hao hao majizi wenzako wa CCM.
 
Ujumbe wa siku
bbe5a0d4da184a9e88ec7e95a76b21f9.jpg
 
Shetani hajawahi kushangiliwa popote. Na kama ulikuwa mfuasi wa dhalimu hakuna mtu anataka umuelewe. Na kama ni kura hakuna anayetaka kura yako. Wape kura hao hao majizi wenzako wa CCM.
Tindo huu mtanange mpaka sasa mshindi ni Dkt Magufuli kama ilivyokuwa kwa Dkt Kikwete hata Dkt Samia atashinda tu na ujinga wenu wa kuzusha mambo. Kikundi chenu cha kigaidi cha hicho chama kilichokufa kinaenda kufutwa very soon.
 
Barua ya katazo la mkutano ya msajili wa vyama vya siasa tishio la sheikh Mwaipopo na hujuma kadha wa kadha ni factors muhimu pia. Hata hivo upo ujumbe umewafikia watu, chumvi huwa ni ndogo kuliko mboga lakini...
Wakristo hamuwezi kuendesha harakati yoyote pwani ikafanikiwa labda moshi, arusha na mbeya. DSM ina wenyewe. Sheikh Ponda angepiga takbira moja tu uwanja wenu ungejaa.
Sasa nyie mumekosea ktk politiko kalkulesheni zenu mkaweka wagalatia wengi mbele wakati mnaandaa mkutano sehemu yenye waislamu wengi.
 
Tindo huu mtanange mpaka sasa mshindi ni Dkt Magufuli kama ilivyokuwa kwa Dkt Kikwete hata Dkt Samia atashinda tu na ujinga wenu wa kuzusha mambo. Kikundi chenu cha kigaidi cha hicho chama kilichokufa kinaenda kufutwa very soon.
Kufa kwa cdm ndio matamanio ya kila mwanaccm, ila kwa bahati mbaya uwezekano wa kuifuta cdm kwa ushawishi wa kisiasa hilo limeshawashinda ccm. Ndio maana unaona wizi wa kura, kuwabambikia kesi, hujuma za wazi nk. Ushindi gani walipata huyo Kikwete na Magufuli? Au kuwa rais tayari kwako ndio kipimo cha ushindi? Kwa umasikini huu huo ushindi waliupata kwenye nini?
 
Kilishakufa mpaka hapo, kilichobaki ni mifupa tu. Credibility yao ilipotea na kufa baada ya kumpokea Lowasa baada ya mbowe kulipwa rushwa na kumtishia kifo Dkt Slaa, na kibaya zaidi awamu ya mchapa kazi Dkt Magufuli akitekeleza yale yote waliyohubiri kipindi cha Dkt Kikwete kama udhaifu ila wao wakamgeuka na kuanza tena kusema afadhali Dkt Kikwete, ona sasa hivi yanavyopinga uwekezaji
 
Kwa ule uhayawani tuliouona uchaguzi wa 2020 ni bora ukae kimya.
 
Siku CDM wakitwaa madaraka natembea uchi
Wewe usijitie pressure bure mkuu kwani nani wa kuwapa madaraka hao wabaguzi wanaoharibu misingi ya kitaifa ya umoja na upendo! Hatutaki migawanyiko na udini wa CHADEMA. Lkn pia wanawatumia vibaya viongozi wa kikristo hasa wale wa kabila la wahaya .
 
Mnasubiri nini kumkaribisha Advocate Mwabukusi,kwenye majukwaa yenu?
Katika kupigana vita huwa hatuchaguwi ni nani rafiki,bali Urafiki unakuja "Automatically"sababu wote mnaojikuta upande mmoja wa vita mkipigana bega kwa bega dhidi ya Upande wa pili wa adui yenu.Tayari...
Nyinyi mnakuwa ni zaidi ya Marafiki bali kama ndugu kabisa.
Hii ni kwa sababu mnakuwa mmeingia hiari kufa pamoja katika uwanja wa Vita.
Mkiwa mnatetea kile mnachokiamini katika umoja wenu, dhidi ya yule mpinzani wenu.

Pia Rafiki anahitajika kwa kuzingatia kwamba urafiki ni moja ya mali ya thamani sana katika maisha yetu.

Hili la DP-WORLD limegeuka kuwa uwanja wa harakati za mapambano dhidi ya wadhalimu kadhaa, wanaotaka kuuza au kugawa raslimali za nchi yetu kwa faida zao binafsi ambazo bila shaka wanazijua wao.
Dhidi ya wazalendo wa kitanganyika wanaokataa kushuhudia nchi na maliasili zake, ikitumika vibaya na kundi dogo la wenye mamlaka serikalini kwa maslahi yao binafsi pamoja na maswahiba wao.

Ni katika suala hili ambapo wameibuka watu wazalendo kama Advocate Mwabukusi akiwa sambamba na kada maarufu wa "CHADEMA" maarufu kama Mdude Nyagali.
Sina haja ya kuwaelezea wawili hawa kwa sababu tayari wameingia katika orodha ya watu wenye uthubutu wa kupambana na dola kwa hoja zenye mashiko.

Ushauri wangu kwa "CHADEMA" ni kwamba huu ungekuwa wakati sahihi wa kumkaribisha rasmi Mzalendo Mwabukusi.
Ili awaongezee nguvu katika vuguvugu linaloendelea la mapambano ya kuokoa Bandari zetu na kuidai katiba mpya ya JMT.

Fanyeni usajili mpya bila kuangalia maslahi yenu binafsi bali uzalendo kwa maslahi mapana ya Tanganyika yetu.

Na hii itachagiza pia CHADEMA kuendelea kujisimika vizuri kwenye maeneo ya Nyanda za juu kusini huko.

Mwabukusi tayari ni Potential huko kusini....
za kuambiwa ongezeni na za kwenu.

Siasa ni pamoja na mikakati mizuri katika kuunda team sahihi katika wakati sahihi.

Cc: Erythrocyte
 
20141018_MAP004_0.jpg

Watanzania hawajaridhika na mkataba wa Bandari yake Salama. Serikali isione aibu kuachana na Waarabu.Tunaposema Bandari Imegawiwa, maana yake Imegawiwa.
 
Back
Top Bottom