BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

Asanteni watanganyika, wahuni lazima watajwe leo hata kama wakijificha kwa vilemba.

Bandari zetu ni sasa, mambo ya dini na takataka nyingine wapelekewe wajinga, werevu hawataki kuzisikia.
Teh teh teh teh!!!
Unachekesha!!

Mshapata burudani yenu wenyewe mmeridhiiiika.
But you've nothing to change...
 
Mbona kama ushabiki wa Yanga na Simba eti.
Hv mko serious na bandari au kushindania nani atashinda ligi hii..
 
Picha ni hii hii tu?
 
Hivi uyu mama alilogwa na ccm yake , amekwisha sasa
 
Kongole nyingi mno ziende kwa watu wote walioguswa na sakata hili la bandari zetu hasa wewe Erythrocytes. Nchi hii kwa sasa inawahitaji mno watu wote wenye kariba hizo kwa ajili ya ulinzi wa rasilimali za taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…