Bandari mambo mazuri kuliko tunavyofikiria. DP World

Nenda Dubai,ukaangalie waislamu wslivyoendelea,kutoka a fishing village(!kijiji cha uvuvi),mpaka kuwa Global City(Jiji la Dunia),na hawa mafuta,wanategeme bandari tu,na imewainua kiuchumi.
ni kweli wanategemea bandari tu. ndio maana waliogopa kama tanzania tutajenga bandari ya kueleweka, mfano ya bagamoyo, meli zitakuja moja kwa moja toka china hadi bongo, hazitapitia dubai kwahiyo bandari yao itakosa soko. ndio maana waliamua kutupunguza speed kwa kutucontrol kwa namna hii. kwahiyo sasa wao ndio watakuwa wanaamua bandari zetu ziendelee au zisiendelee, tujenge zingine au tusijenge, manake wamepiga marufuku kuendeleza bandari ingine hadi wao waambiwe.
 
Dah

"Wajinga wajinga kama Magufuli hawatokubalika tena kwa miaka mingi ijayo."
 
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
 
We ni jinga hlf nahc Malaya au kahaba mtukutu huna adabu na mshenzi huwezi muita mtu anayeweza kuwa bb yako Kwa hilo jina,shenzi kabisa km unasali Ibada yako ni ya kipepo nguruwe pori wewe
 
Safi sana kwa lugha nyepesi tujiandae kwa ukolini mambo leo
 
Sawa
Ila sisi midume tumeahidiwa mabikira sabini
Wewe huko kwa Mwenyezi umeahidiwa nn?
Mwanamke Hana urithi!
Huyo mwanamme wa kiislamu haingii peponi bila kibali cha mama mzazi(mwanamke huyo),fikiria boss anajilipa atakavyo,huyo ndio mwanamke(boss),yeye atajiamulia ajilipe atakavyo.
 
Sawa
Ila sisi midume tumeahidiwa mabikira sabini
Wewe huko kwa Mwenyezi umeahidiwa nn?
Mwanamke Hana urithi!
Mwanamme haingii Peponi katika uislamu,bila kibali cha mama mzazi(mwanamke),ukimtendea ubaya mama mzazi(!mwanamke),!Pepo hata harufu yake huisikii.
Kwa hiyo ujuwe na uelewe hao mabikira 70,katika uislamu huwapati mpaka Mama(mwanamke)awe radhi(akupe kibali),ndio uingie.Kwa hiyo Mama(mwanamke),ndio boss wa kumuingiza mwanamme Peponi,sasa fikiria akiwa ndio ana kibali mama (mwanamke) cha kumuingiza mwanamme Peponi,yeye mwenye kibali atajilipa peponi anavyotaka yeye.
 
Mama wa kambo siyo mama. Alimuua baba ili apate nafasi ya kutapanya mali zetu na waarabu.
 
Tajiri hajawahi kuwa na Mpango wa kumnufaisha Maskini ... ( Sijui kama una upeo wa kunielewa ) Lakini Ukweli ni Kwamba lengo kuu la Tajiri ni kuhakikisha Maskini anakuwa Maskini zaidi . UNAJIDANGANYA TU , FURTHER MORE JPM aliifahamu Mifumo ya Dunia , Alifahamu Siri ya kuendelea kwetu kuwa Maskini licha ya UTAJIRI tuliobarikiwa . WATANZANIA NINYI WENYE HULKA YA KUSIFIA SIFIA TU NI MZIGO KWA TAIFA . Tena usidanganyike Kwa habari ya Uingereza kuendeshwa na hao jamaa ni propaganda tu . UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI TU , VITA YA KIUCHUMI WATU WANA SIRAHA ZA VIWANGO ndiyo maana ni ngumu kuipigana . Kwako utaona ni FURSA tu lakini ndivyo umeshapigwa Kiuchumi .
 
Nakuheshim lakini kwa hili umetumia mda wako bure kuandika utumbo nimerudia mara 3 kusoma lakini hakuna point ..... naomba nikulize nani kakwambia sisi tuna mashaka na ufanisi wa DP wold kuhusu ubora wao? Kilio chetu kikubwa ni mkataba je? Mikataba nirafiki nani kaziona na kuzisoma akja na summary hapa tukajua ukweli?

Kwanini mna tumia nguvu kubwa kueleza vitu vidogo yani wew na akilizako unatuelez ubora wa DP wold wakati hata mitandaoni tunaziona kwanini usitueleze kuhusu mikataba kama kweli wew ni mzalendo na unatutakia mema ........ kuna kiongozi alisha wahi sema sisi ni kichwa cha mwendawazimu bado natafakari hili neno mana nikama kuna kaukweli iviii

Kwanza walitupinga wakasema hatutaki maendeleo wakati sisi tuna maswali machache 1:UKOMO WA MKATABA
2:ENEO GANI WANA PEWA
3:KWANINI MKATABA HAUVUNJIKI
4:KWANINI TUKITAKA KUENDELEZA BANDARI ZINGINE NDANI YA NCHI YETU TUOMBE KIBALI TOKA KWAO
5: SWALA LA ULINZI NA USALAMA kuna kipengele kina waruhusu DP wold kuja na askari wao

Ukisha nijibu haya maswali Leo Leo nakunga mkono
 
Uongo huo mnadangayana.

DP World kishaanza kazi bandarini na hakuna wa kumzuwia.

Umeliewa hilo?
Ila wewe kilaza lisilojua hata kuandika kwa ufasaha ni kujipendekeza tuu Huna lolote boya wewe
 
 

Attachments

  • 69480.jpg
    14.9 KB · Views: 1
Ila wewe kilaza lisilojua hata kuandika kwa ufasaha ni kujipendekeza tuu Huna lolote boya wewe
Mradi unanifatilia na ujumbe unakufikia, lengo langu limetimia.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Naona alshabab, Alkaida, Boko haram wanakaribishwa hadi sebuleni

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Unawakaribisha wewe? Maana Dubai pale wanakaribisha dunia nzima kufanya biashara na sijawahi kuwasikia kwao hao wote unaowataja.

Unafahamu hao uliowataja wameanzishwa na nani?

Mama ameupiga mwingi kwa wajomba zake.
 
Unawsksribusha wewe? Maana Dybqi oake wanaksridha dunia nzimw kufanya biashara na dijadikiw kwao kuhusu hao wote unaowataja.

Unafahamu hao uliowataja wameanzishwa na nani?


Mama ameupiga mwingi kwa wajomba zake.
Huyu mwehu hajui hata kuandika kwa ufasaha! Boya kweli
 
Na huu udini wako pepo utaiskia kwenye matako tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…