Kwahiyo hiyo mikataba mingine 17 hatujui inahusu nini, inawezekana kabisa kesho kutwa likazuka jingine la ajabu kama hili la bandari, hakika mzanzibari msaliti ametutoa sadaka.

Hiyo hoja namba 3 inaumiza moyo sana, kweli hii nchi imeuzwa, bandari zote Tanzania amekabidhiwa mwarabu kweli?!

Hoja namba 4 inaonesha kabisa kuna connection ya huu ujinga tuliofanyiwa kati ya Samia na JK, kwasababu kama serikali ya awamu ya 4 ilitaka kubinafsisha bandari kisha yule aliyetoa taarifa kwa upinzani akafukuzwa kazi, inaonesha ile nia ovu ya JK amekuja kuitekeleza Samia.

Samia anafuata ushauri wa JK kwenye kila jambo, mpaka kuiuza nchi, hawa wawili wamelaaniwa.

Hoja namba 6 ya Dr. Slaa inaonesha vile tumeuza usalama wa nchi yetu kwa mwarabu kwasababu ya kuwapa bandari, sasa maadui wanaweza kuingia na kutoka nchini, kutorosha mali, vile wapendavyo.

Mkataba unatoa "exclusive rights"! kisheria hapa kwa kifupi ni kwamba, mwarabu sasa ndie amegeuka kuwa bosi wetu na atatufanyia vile anavyotaka, sisi tumekuwa watumwa kwake kulingana na makubaliano tuliyoingia nae, inshort sasa tunalazimika kumsikiliza yeye!.

Hakika, hawa jamaa walikuwa wanasubiri "one last chance" watuumize, ooh Mungu kwanini umetuletea huyu kiumbe dhaifu namna hii atuongoze?, sitaki kuamini kama haya ni mapenzi yako, sasa nashawishika kuamini kuna mkono wa mtu.
 
Kwa hiyo mama wa watu anaiuza Danganyika kimyakimya?
 
Kinachoshangaza hadi hivi hajawa BANNED kama ambavyo Wengine hupewa BAN kwa Kauli nyepesi tu kuliko hilo lake Kubwa.
Hakuna tusi pale,na kama lipo wakati mwingine linawafaa watu wajinga kama hao,eti mzee kwa wajinga na wapumbavu huwa hawazeeki?. Wewe mda woote unaongelea ukatili,ukatili ukatili! Ukatili gn wewe huo alikufanyia magufuli.
 
Katika mkutano wa Dr. Slaa waandishi wa habari washutumiwa ni vibaraka kwa kutotetea wenzao kuandamwa na Bunge baada ya gazeti la NIPASHE kutishiwa na Spika wa Bunge kuwa litachukukuwa hatua kwa kupotosha ukweli wa mkataba wa bandari ...
 
T
Kwahiyo hiyo mikataba mingine 17 hatujui inahusu nini, inawezekana kabisa kesho kutwa likazuka jingine la ajabu kama hili la bandari, hakika mzanzibari msaliti ametutoa sadaka.
Tuache ubinanfsi, kiongozi Ni binadamu akikosea aambiwe tuanapswa kumuunga mkono Ila sio kwa hili'.Hata Mzee wangu sintamuunga mkono akitaka kuuza shamba la home Japo Ni lake hiyo Ni big noo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…