Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

Hii Nchi itakuwa Raia wake tumerogwa, yaani Viongozi wanafanya mambo ya kutuumiza alafu raia wake tumekaa kimya tu.

Ila ngoja hiki Kizazi cha hawa Wazee kifutikez huenda tukawa na mwanzo mpya kufikia 2040
Watakuwa vijana wapo kwenye mtego ambao hawataweza kufanya chochote maana umasikini ndio tatizo kubwa...
 
Hii Nchi itakuwa Raia wake tumerogwa, yaani Viongozi wanafanya mambo ya kutuumiza alafu raia wake tumekaa kimya tu.

Ila ngoja hiki Kizazi cha hawa Wazee kifutikez huenda tukawa na mwanzo mpya kufikia 2040
Wanarithisha madaraka watoto wao.
Muendelezo ni uleule
 
kwa miaka 100,tangu mtoto aliyezaliwa mwaka huu huenda wote tutakuwa tumekufa , watoto wetu na wajukuu wetu watatushangaa kwa maamuzi ya ukichaa ya kuuza bandari ya dar kwa miaka 100,yaani watatuona malofa kweli . Kwa maslahi ya taifa letu , tuungane kupinga huu mkataba wa kimabavu!!
 
Hawa viongozi hawafikirii kesho ya nchi yao.
 
Wazee wa miaka 60+ wana waamulia Watoto wenu kwa miaka 99 ijayo, ina maana Bandari yetu itachukuliwa chini ya hao Wageni hadi 2122, ambao wote humu tutakuwa Makaburi ikiwemo na aliyeuza.

Hizi ni athari za kutokuwa na Viongozi Wazalendo, wanajifikiria wao tu
Shida inaanzia kwenu nyie wanya nchi ni ma hopeless saana....
Hata ivyo ni mashirika mangap mlipewa mkaua, hata iyo bandari imelalamikiwa mara ngap??
Mkiambiwa mri act mnauliza ooh mbona kina Mboe na tundu lissu hawaendi front??

Mwisho wasiku mama samia she is right mijitu anayoitawala inawaza wizi tuu na uvivu huku nchi inapata hasara mwisho wa siku bora ataifishe apate faida ya kueleweka
 
Mimi binafsi nampongeza rais kwa kuwakodishia bandari wabia wengine.
Bandari pengine inaleta faida kidogo sana na janja janja zimekuwa nyingi mno.
Mheshimiwa rais angalia na namna ya kubinafsisha mashirika mengine kama vile tanesco na mashirika ya maji. Mashirika haya yamefanya kazi kwa kusua sua sanahuku baadhi wa watu wachache wakijilimbikizia mali. Ikiwezekana binafsisha hata taasisi ya Elimu.
 
Mimi naona tuu watu wakiandika andika ila sijaona tamko la Serikali kuhusu hili maana sitegemei kwa Nchi kama Tanzania kuamua kitu cha kijinga namna hiyo na kama ni kweli waliohusika wote wachunguzwe pana mambo ya rushwa kubwa kubwa hapo sio bure...sitegemei kama hicho kitu ni kweli wakeamua watu na akili zao Tomamu kabisaa...
Kama haijakanusha kutakuwa na ukweli
 
Mimi binafsi nampongeza rais kwa kuwakodishia bandari wabia wengine.
Bandari pengine inaleta faida kidogo sana na janja janja zimekuwa nyingi mno.
Mheshimiwa rais angalia na namna ya kubinafsisha mashirika mengine kama vile tanesco na mashirika ya maji. Mashirika haya yamefanya kazi kwa kusua sua sanahuku baadhi wa watu wachache wakijilimbikizia mali. Ikiwezekana binafsisha hata taasisi ya Elimu.
Mtu kama rais akiona janja janja nyingi kama kweli ana dhamira ya kukomesha janja janja kinachotakiwa ni kutunga Sheria inayoweza kukomesha janja janja hizo na siyo kulikimbia tatizo
 
Tuondoe hofu, kila kitu kina faida na hasara, inawezekana faida ikawa ni kubwa zaidi kuliko hasara; nadhani kutakuwepo na muda wa matazamio.
Hakuna faida yeyote.

Baada ya Nyerere walibinafsisha kila kitu tumebakia maskini mpaka sasa.

Rais nchi imemshinda anatamani kubinafsisha kila kitu mpaka raia wake ila sio cheo chake.
 
Wakati wa nyerere tulikuwa matajiri.
 
Shida inaanzia kwenu nyie wanya nchi ni ma hopeless saana....
Hata ivyo ni mashirika mangap mlipewa mkaua, hata iyo bandari imelalamikiwa mara ngap??
Mkiambiwa mri act mnauliza ooh mbona kina Mboe na tundu lissu hawaendi front??

Mwisho wasiku mama samia she is right mijitu anayoitawala inawaza wizi tuu na uvivu huku nchi inapata hasara mwisho wa siku bora ataifishe apate faida ya kueleweka
Watanzania tumekuwa makondoo
 
Back
Top Bottom