Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

Matrillion tuliyo wekeza kwenye Ndege ndo tungeziweka bandari ya Tanga/ bagamoyo zingeleta faida mapema sana kuliko kutembeza twiga angani kwa hasara
 
Rais alidanganya huyo aliekupa taarifa ambae umeshindwa kumtaja jina ndio mkweli kama una manufaa kwa TAIFA mkataba si uwekwe wazi?
 
Mkakati my ass@#$%*&!

Kwa nini hao china wasitumie bandari ya dar ambayo ipo tayari na marekebisho yake hayataitaji pesa nyingi?
kuna bandari ya Mtwara ambayo inaweza kuhudumia nchi za malawi na zambia, kuna bandari ya tanga ambayo inaweza kuhudumia rwanda, na burundi ikiwezekana Kongo sanasana ni porojo tu za wachumia tumbo kuhusu bagamoyo.
 
Kwa hyo SHIDA NI mkataba wake au ujenzi wa bandari yenyewe?.
Sasa yeye alitueleza yaliyo ndani ya mkataba,sasa nyinyi mnatetea bandari iwe chini ya mchina kwa 33 miaka.na hutakiwi kuendeleza au marekebisho yoyote ya bandari za ukanda wa pwani,
Nyinyi mtuambie hapana,mkataba hausemi hivyo
 
Afrika ipi inayoitaja, sisi bidhaa zetu zinakwenda sana Congo DRC na Zambia na Malawi sasa kumbuka kuna Bandari za Lami, Mombasa (zinahudumia South Sudan, Ethiopia na Uganda), Beira Mozambique inahudumia zaidi Malawi, Zimbabwe, Zambia na hata Congo, Durban S.A inahudumia Bitswana, Zimbabwe nk sasa jiulize je tunauhitaji wa Bandari ya Bagamoyo ambayo inamsharti ya hovyo hata wajukuu zetu watakuja kutushangaa kwa namna tutakavyokubali masharti yale
Masharti gani ya hovyo? Weka mkataba tuusome hapa kinyume na hapo ni propaganda za Jiwe Ili apendelee kanda ya ziwa

Pili hakuasisi yeye ndio maana hakutaka kuutekeleza, mengine unayoongea ni utopolo
 
Masharti gani ya hovyo? Weka mkataba tuusome hapa kinyume na hapo ni propaganda za Jiwe Ili apendelee kanda ya ziwa

Pili hakuasisi yeye ndio maana hakutaka kuutekeleza, mengine unayoongea ni utopolo
Mbona aliyeasisi hakuanza ujenzi?
 
Soma vizuri makala mradi huo inaenda sambamba na u

Ijenzi huo unatia mdani ujenzi wa viwanda zaidi ya 700 na vitaajiri zaidi watu 250,000

Hakuna mtu anajenga kiwanda eti kwa sababu bandari iko karibu. Hakuna Mchina anayeza kukuletea kiwanda kwa sababu ya bandari tu. Kwao wana tatizo la population na ajira kubwa sana tu. Wakujengee viwanda uajiri watu wako wache kuleta wachina kama ilivyo kuwa ujenzi wa uwanja wa Benjamini Mlapa.

Msikilize huyo Engineer Kakoko ambaye na amini anateswa kwa kuamua kuwa mzalendo na kunanga mikataba ya awamu zile ya madini na akasema hili halitokei tena kwa bandari ya Bagamoyo. Mahala pake wamemuweka tapeli wa vitu vidogo vidogo atacha kuwa wa vitu vikubwa?!

Mradi wa Bagamoyo tukikubaliana na masharti ya Wachina tujue kwamba ndio tumeuza kipande hicho cha ardhi ya Tanzania. Hatuna lolote la kumfanya mchina na maguvu yake ya kijeshi.
 
kwa upande wangu naona bado hatuna uwezo wa kujenga kwa pesa zetu za ndani na kama tunaweza basi itachukua muda mrefu sana kukamilika, maana hio pesa ni karibia bajeti yetu ya mwaka mzima. Hivyo naona wakae chini wafanye tasmini upya kama bado una weza kuendelea basi uendelee tu. Bila shaka utaleta tija kwa Taifa.

Hakuna lolote ni ufinyu tu wa akili unaijenga kwa awamu kutokana na mahitaji ya sasa. Awamu ya kwanza unaigharimikia awamu nyingine unaendeleza kutoka sehemu ya faida.
 
Wasepe waende wapi? Wana pa kwenda penye uchochoro wa bwereree kama Tanzania? Nchi nyingine zinajitambua na haziwezi kuingia mkataba wa kijinga namna hiyo. Ni Tanzania tu yenye viongozi wenye uchu wameona uwezekeno wa kuhonga ili wachukue hicho kipande. Hawa ni watu hatari sana sana na wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote.
Kweli ndugu. Iko wapi gesi ya kusini tuliyoaminishwa itakuwa mkombozi, tena bomba likajengwa na hatujaona faida yake. Tuwe makini sana na hawa Wachina. Kwanza ni watu wasiopenda kufuata sheria na wanadharau na wepesi kuwanunua watendaji wa serikali. Vinginevyo mkataba uwekwe wazi wote tuuone kuliko huyu anasema kuna vifungu vya hovyo na mwingine anasema ni sio kweli. Tatizo kuna Watanzania wenzetu hawajali nchi ikipata hasara ili mradi wao wamepata cha juu.
 
Kwa masharti hayo huyo Mary Nagu atafutwe huko halipo na kuwekwa Segerea walau mwezi mmoja, how dumb was she kukubali mambo kama hayo.
 
Dah! bado unaamini uliyoyaandika hapo?
Tukipata 30% ya Watanzania wenye fikra kama yako tuiombe UN utuletee Mkoloni.
Tuwe Watumwa tu.

Ni aibu na kichefuchefu unachosema.
.
Kwani humu mtandaoni unafanya nini mkuu?
Inaelekea huna unachoelimika nacho.
Sio hana anachofanya,yupo kazini,nyuma yake kuna kundi la wapigaji
 
Mkakati my ass@#$%*&!

Kwa nini hao china wasitumie bandari ya dar ambayo ipo tayari na marekebisho yake hayataitaji pesa nyingi?
ina eneo dogo sana lakini pia kuna mlango bahari mdogo amabo hauwezi kuruhusu meli kubwa za kisasa kupita na kudock bandarini
 
Back
Top Bottom