Yusuph chilomba
Member
- Nov 30, 2018
- 13
- 5
Aisee,, naona kama hujaelewa bado nakushauri usome tena kwa makini labda utaelewa nduguMkakati my ass@#$%*&!
Kwa nini hao china wasitumie bandari ya dar ambayo ipo tayari na marekebisho yake hayataitaji pesa nyingi?
kuna bandari ya Mtwara ambayo inaweza kuhudumia nchi za malawi na zambia, kuna bandari ya tanga ambayo inaweza kuhudumia rwanda, na burundi ikiwezekana Kongo sanasana ni porojo tu za wachumia tumbo kuhusu bagamoyo.Mkakati my ass@#$%*&!
Kwa nini hao china wasitumie bandari ya dar ambayo ipo tayari na marekebisho yake hayataitaji pesa nyingi?
Sasa yeye alitueleza yaliyo ndani ya mkataba,sasa nyinyi mnatetea bandari iwe chini ya mchina kwa 33 miaka.na hutakiwi kuendeleza au marekebisho yoyote ya bandari za ukanda wa pwani,
Nyinyi mtuambie hapana,mkataba hausemi hivyo
Watuwekee hapa huo mkataba nasi tuusome [emoji849]
Masharti gani ya hovyo? Weka mkataba tuusome hapa kinyume na hapo ni propaganda za Jiwe Ili apendelee kanda ya ziwaAfrika ipi inayoitaja, sisi bidhaa zetu zinakwenda sana Congo DRC na Zambia na Malawi sasa kumbuka kuna Bandari za Lami, Mombasa (zinahudumia South Sudan, Ethiopia na Uganda), Beira Mozambique inahudumia zaidi Malawi, Zimbabwe, Zambia na hata Congo, Durban S.A inahudumia Bitswana, Zimbabwe nk sasa jiulize je tunauhitaji wa Bandari ya Bagamoyo ambayo inamsharti ya hovyo hata wajukuu zetu watakuja kutushangaa kwa namna tutakavyokubali masharti yale
Rasilimali sio pesa tuu ni pamoja na ardhi na Eneo lenyewe la bandariYaani mtu anaweka mtaji wa Trillion 23 we unaweka bilioni 46 thn asiweke masharti ya ku secure pesa yake?
Masikini anajifungia sana ndani anaogopa kuchekwa.
Mbona aliyeasisi hakuanza ujenzi?Masharti gani ya hovyo? Weka mkataba tuusome hapa kinyume na hapo ni propaganda za Jiwe Ili apendelee kanda ya ziwa
Pili hakuasisi yeye ndio maana hakutaka kuutekeleza, mengine unayoongea ni utopolo
Soma vizuri makala mradi huo inaenda sambamba na u
Ijenzi huo unatia mdani ujenzi wa viwanda zaidi ya 700 na vitaajiri zaidi watu 250,000
kwa upande wangu naona bado hatuna uwezo wa kujenga kwa pesa zetu za ndani na kama tunaweza basi itachukua muda mrefu sana kukamilika, maana hio pesa ni karibia bajeti yetu ya mwaka mzima. Hivyo naona wakae chini wafanye tasmini upya kama bado una weza kuendelea basi uendelee tu. Bila shaka utaleta tija kwa Taifa.
Kweli ndugu. Iko wapi gesi ya kusini tuliyoaminishwa itakuwa mkombozi, tena bomba likajengwa na hatujaona faida yake. Tuwe makini sana na hawa Wachina. Kwanza ni watu wasiopenda kufuata sheria na wanadharau na wepesi kuwanunua watendaji wa serikali. Vinginevyo mkataba uwekwe wazi wote tuuone kuliko huyu anasema kuna vifungu vya hovyo na mwingine anasema ni sio kweli. Tatizo kuna Watanzania wenzetu hawajali nchi ikipata hasara ili mradi wao wamepata cha juu.Wasepe waende wapi? Wana pa kwenda penye uchochoro wa bwereree kama Tanzania? Nchi nyingine zinajitambua na haziwezi kuingia mkataba wa kijinga namna hiyo. Ni Tanzania tu yenye viongozi wenye uchu wameona uwezekeno wa kuhonga ili wachukue hicho kipande. Hawa ni watu hatari sana sana na wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote.
Sio hana anachofanya,yupo kazini,nyuma yake kuna kundi la wapigajiDah! bado unaamini uliyoyaandika hapo?
Tukipata 30% ya Watanzania wenye fikra kama yako tuiombe UN utuletee Mkoloni.
Tuwe Watumwa tu.
Ni aibu na kichefuchefu unachosema.
.
Kwani humu mtandaoni unafanya nini mkuu?
Inaelekea huna unachoelimika nacho.
ina eneo dogo sana lakini pia kuna mlango bahari mdogo amabo hauwezi kuruhusu meli kubwa za kisasa kupita na kudock bandariniMkakati my ass@#$%*&!
Kwa nini hao china wasitumie bandari ya dar ambayo ipo tayari na marekebisho yake hayataitaji pesa nyingi?