Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

Hivi impact ya kuwa na wizara nyingi nini?
1.Uwekezaji,Biashara na Viwanda.
UBV iwe na wakurugenzi 3
2.Wizara ya afya ina mfumo wakitamisemi na NGO.Mchanganyiko
3.Wizara ya Elimu ndio kabisa.
Sera ngumu
4.Ujenzi,uchukuzi ni pana sana.
Ingekaa Uchukuzi na Biashara
 
Hamna kitu kinaweza ua reli maana reli ni njia rahisi kusafirisha mizigo mingi na mizito.. barabara ni njia ya kusafirisha watu ila reli ni ya mizigo.
Inakufa tu, sasa kama mizigo kila siku unachelewesha halafu kuna alternative ya barabara unadhani nini kitatokea.
 
CCM yote imemkana magufuli, lakini ccm wenyewe ndio walitoa kauli hii-"Atake asitake tumuongezea muda"
 
Eeeh kumbe Waziri Mwambe ni low thinker sana, yaani anakubaliana kabisa Dar hadi Pangani pasiendelezwe? 90% ya mapato ya Bandari zetu inatoka Dar, hivi kweli hata aibu Waziri huyu hana kusema hivyo kirahisi tu, eti Dar hadi Pangani pasiendelezwe? Kweli? OMG, hivi hawa watu akili zao zikoje jamani? Hv kweli unamleta mchina, alafu uache kuendeleza Dar hadi Pangani? Eeehh Mungu tusaidie jamani, plz, Mungu Baba tusaidie jamani, Eeeh Mungu Baba tunamkumbuka JPM kwa mambo kama haya. Noo, noo..!! 😢😢😢😢😢
 
Wapi kasema kakubali?
 
Target yao ni hiyo bandari ya dar ife natural death tuhamie kwa mchina hata wasipo taja mtwara hiyo haina madhara kwanza itskuwa mbali na potential population
 
Kwa hiyo na bandari ya Dar es salaam ilikuwa kwenye zuio pia?
Hiyo ndo target yao kubwa mtwara hawana shida nayo maana haina potential population. Lengo bandari ya dar ifi natural death halafu kampun zetu zile za clearing and forwarding zihamia kwa mchina
 
Kwa maana mengine ajira za dar zipotee maana bagamoyo hizo ajira za maana waswahil hawatakaa wazione.na tukumbuke bandari itaendelezwa bila kuingiliwa na TRA au mamlaka nyingine
 
Kama Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hautaathiri Maendeleo ya Bandari za Dar,Tanga na Mtwara sioni ni sababu gani inazuia isijengwe.
Umemsoma waziri mwenye dhamana lakini au unabwabwaja tu hapa
 
Kwa hiyo mkataba ilikuwa tayari.

Hayo mashariti ya wachina ameyaona wapi kama haukuwa mkataba?

Kuna umuhimu kila wizara iwe ina mpigia kura mtumishi ndio awe waziri,huu uhuni wa taaluma kuwa siasa ukome.
Hii ikifuatwa tutanufaika japo hata hao badae watageuka kua wanasiasa waliotolewa jalalani
 
Unaakili sana ungekuwa karibu ungechoma nyama hata kilo moja .ukishaauwa bandari ya dar maana yake umeshashatrngeneza monopoly, tunajua kabisa hiyo bandari itakuwa na ufanisi na wa hali ya juu ikilinganishwa na bandari ya dar .kwa hiyo itapokea mizigo mengi sana
 
Alikuwa na fikira huyo aliyopo yupoje kwani
 
Inakufa tu, sasa kama mizigo kila siku unachelewesha halafu kuna alternative ya barabara unadhani nini kitatokea.
Basi Ulaya wasingewekeza kwenye reli kuna mizigo lazima ipitishwe kwenye reli mpafo magari mengi, madini na kadhalika
 
Umaskini wako usisingizie watu wengine, Chapa kazi, Hizo ndoto za jeshi ondoa, siyo kwa TZ hii, kama unahamu sana kutawaliwa na jeshi hamia Sudan, Somalia, Yemen, Syria, Afghanistan n.k.! Hii nchi ni ya wastaarabu, UNACHOKITAMANI KITOKEE HAKITOKUJA KUTOKEA KAMWE, Kama yote yameshindikana kwako Jinyonge
 
Kuhusu mradi bado A, B, C, D nyingi sana hazijulikani, ni ngumu kuupondea tu bila kuwa na base yeyote! Maamuzi mengi aliyokuwa anafanya JPM wasaidizi wake hawakuwa pamoja naye, ndiyo vile tu alikuwa anatumia ubabe na vitisho!!

And mwisho wa siku JPM siyo Mungu kwamba kila alichoamini basi kila mtu akifuate!! Yeye alikuwa msaidizi wa Kikwete miaka 10, je alipoingia aliyafuata yote ya Kikwete considering your point kwamba wasaidizi wake wafuate yote aliyoyataka yeye (wasipofuata ni usaliti)??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…