Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

Dalili za kifo ila sina maana mbaya.kumbukeni kwa Magufuli mlianza hivi hivi mara aongezewe miaka ,mara awekwe kweny sarafu ,mara kutawala milele....

Eventually mmeona kilichotokea.!
 
Mpaka mseme, yaani mpaka mseme kabisaaaaa

Samia atabaki kuwa rais bora na bora na bora sana
Hembu niambieni angalau rais mmoja tu aliwahi kuruhusu maandamano inchi hii
Wacha rais mmoja hata nusu tu
 
Hata nchi pia iitwe hivyo sawa tu
Yaani hata majina yenu mbadili pia
 
Mimi napingana nawe bwana Nyani Ngabu, bandari tu haitoshi. Huyu mama amekuza sana uhuru wa habari. Ili tumuenzi, Tanzania Broadcasting Corporations, ibadilishwe na liitwe Samia Broadcasting Corporation.

Na kila chombo cha Habari kiwe na dakika 5 za kumuelezea mama yetu kipenzi saa 5 na dakika 55 usiku, na saa 11 alfajiri, sauti yake isikike. Kwani sauti yake ni tumaini kwa taifa, hivyo watanzania wanapaswa kuanza siku kwa kuisikia sauti yake.
 
Pure hilarity 🤣.
 
HAPANA
 
***** walah yaani kujipendekeza kwenu mnataka kila k2 kiitwe jina lake mwingine jana bungeni ulimskia alivosema kuwa tuweke picha ya mama kweny hera za nchi[emoji24][emoji24]
 
Hii haina mjadala. Magauni ya "mama" ndo liwe vazi la Taifa na livaliwe na jinsia zote bila kujali Me au Ke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…