Dr tupa
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 229
- 170
Jiandae uteuzi ujaoWatu mna mambo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae uteuzi ujaoWatu mna mambo!
Basi na jua nalo tulibadilishe jina tuliite Samia 🤣.Huku kwetu jua kali, samia haijanyesha zaidi ya wiki mbili 🤔
Kwa ushauri wangu jua liitwe Samia lakini mvua tuiite Suluhu kuepusha lugha gonganaBasi na jua nalo tulibadilishe jina tuliite Samia [emoji1787].
Excellent!Kwa ushauri wangu jua liitwe Samia lakini mvua tuiite Suluhu kuepusha lugha gongana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imetosha sasa Ngabu🤣🤣🤣 Samia ni kali sana samia haijanyesha hukuBasi na jua nalo tulibadilishe jina tuliite Samia 🤣.
🤣Kuokoa muda vitu vyote viitwe Samia. Hata mataqo yaitwe Samia
Pure hilarity 🤣.Mimi napingana nawe bwana Nyani Ngabu, bandari tu haitoshi. Huyu mama amekuza sana uhuru wa habari. Ili tumuenzi, Tanzania Broadcasting Corporations, ibadilishwe na liitwe Samia Broadcasting Corporation.
Na kila chombo cha Habari kiwe na dakika 5 za kumuelezea mama yetu kipenzi saa 5 na dakika 55 usiku, na saa 11 alfajiri, sauti yake isikike. Kwani sauti yake ni tumaini kwa taifa, hivyo watanzania wanapaswa kuanza siku kwa kuisikia sauti yake.
HAPANAKwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti.
Mimi napendekeza jina la Bandari ya Dar es Salaam libadilishwe na iitwe Bandari ya Samia/ Port of Samia.
Mama kaleta DP World. Mahela hapo bandarini yameongezeka mpaka pomoni. Mameli ya kutoka Ulaya na kwingineko yanagombania kuja kwenye hii bandari yetu.
Bandari yetu hii sasa imeshika namba ya pili duniani kwa ubora, courtesy of Mama.
Sasa kwa nini tuishie kumuenzi kwenye noti tu?
Tuibadili jina na tuipe jina la Samia.
Na itanoga zaidi pia tutakapoibadilisha jina bahari ya Hindi na kuiita bahari ya Samia.
Na tusiishie hapo. Dodoma nayo tuibadili jina na tuiite Samia.
Na kwa mtaji huo, jina la mji mkuu wetu liwe ni Samia.
Hata mlima Kilimanjaro utapendeza zaidi tukiubadili jina uitwe Mlima Samia!
Mnasemaje wadau..? Tusiwe na wivu. Ungeni mkono hizi juhudi.
Hii haina mjadala. Magauni ya "mama" ndo liwe vazi la Taifa na livaliwe na jinsia zote bila kujali Me au Ke.Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti.
Mimi napendekeza jina la Bandari ya Dar es Salaam libadilishwe na iitwe Bandari ya Samia/ Port of Samia.
Mama kaleta DP World. Mahela hapo bandarini yameongezeka mpaka pomoni. Mameli ya kutoka Ulaya na kwingineko yanagombania kuja kwenye hii bandari yetu.
Bandari yetu hii sasa imeshika namba ya pili duniani kwa ubora, courtesy of Mama.
Sasa kwa nini tuishie kumuenzi kwenye noti tu?
Tuibadili jina na tuipe jina la Samia.
Na itanoga zaidi pia tutakapoibadilisha jina bahari ya Hindi na kuiita bahari ya Samia.
Na tusiishie hapo. Dodoma nayo tuibadili jina na tuiite Samia.
Na kwa mtaji huo, jina la mji mkuu wetu liwe ni Samia.
Hata mlima Kilimanjaro utapendeza zaidi tukiubadili jina uitwe Mlima Samia!
Mnasemaje wadau..? Tusiwe na wivu. Ungeni mkono hizi juhudi.
🤣Hii haina mjadala. Magauni ya "mama" ndo liwe vazi la Taifa na livaliwe na jinsia zote bila kujali Me au Ke.