Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
unajiona tajiri una majumbu kila city kumbe ni hallucinations inayosababishwa na shada/bangi
Cc Vincenzo Jr
Cc Vincenzo Jr
We kujiona una enjoy marekani na Upo tandahimba sio kupunguza stress hukoBangi haipunguzi stress
OkUkumbuke vitu havijawai kutokea? Ndio
Acha ubishi kunauzi kabisa humu search utaupata mzee anakazia kabisa ni mboga 😎sio kweli
Nakumbuka kuna kampuni moja niliwahi fanya kazi. Sasa kuna ule muda wa lunch. Mimi newcomer kazini mwajiriwa mpya katika kuzoeana na wafanyakazi wenzangu siku moja ikabidi tutoke twende lunch basi mimi by that time sikua kabisa ninajua km wale wote ninaofanya nao kazi wanavuta bangi.unajiona tajiri una majumbu kila city kumbe ni hallucinations inayosababishwa na shada/bangi
View attachment 3574169
Cc Vincenzo Jr
Inaonekana upo nyuma sana na Tako la njiwa (Technology) mzee.Bangi sio mboga ni MIHADARATI ikitumika vibaya
Unaeza pakia nyungu 8 na bado ukahisi hujatupia 🤣🤣🤣Nulivuta bangi halafu nikaenda kula mgahawani.
Nilijiona nimekula nusu ya sahani ya wali kwa masaa matano hadi nikaona aibu, nikasema ngoja niubakize tu huu msosi maana watu watanishangaa.
Kumbe nimekula tu Kwa dakika mbili 😂.
Bangi ni noma sana kwa kweli 😂.Unaeza pakia nyungu 8 na bado ukahisi hujatupia 🤣🤣🤣