Hatari sanaaaaaaaaBangi ni noma sana kwa kweli 😂.
Bangi juu 🔥.Hatari sanaaaaaaaa
Usijichange ukaenda kushabikia mpira na mdingi huku umepiga me si nilijichanganya nikapayuka "Hee hebu msikieni huyu matako nae" nililala hosbito wiki mbili 🤣Bangi juu 🔥.
😊😁Nulivuta bangi halafu nikaenda kula mgahawani.
Nilijiona nimekula nusu ya sahani ya wali kwa masaa matano hadi nikaona aibu, nikasema ngoja niubakize tu huu msosi maana watu watanishangaa.
Kumbe nimekula tu Kwa dakika mbili 😂.
🤣🤣🤣Usijichange ukaenda kushabikia mpira na mdingi huku umepiga me si nilijichanganya nikapayuka "Hee hebu msikieni huyu matako nae" nililala hosbito wiki mbili 🤣
NakubariKweli kuna kipindi nilijaribu kuvuta bangi kama mwaka mmoja,nilikuwa kila nikivuta nakutana na kitu kipya.
Mfano,nakumbuka kuna siku nilivuta sana nikaanza kuona kama nadondoka sifiki chini.
Acha uongo ni dawa hata hospital inatumika ila hawakwambii kwamba hii dawa tuliyokupa ni bangiBangi sio kitu kizuri
Kuna baadhi ya mataifa wamehalalisha ganja kutumika kama dawa, hospitalAcha uongo ni dawa hata hospital inatumika ila hawakwambii kwamba hii dawa tuliyokupa ni bangi
😄😁😁😁😃😃unajiona tajiri una majumbu kila city kumbe ni hallucinations inayosababishwa na shada/bangi
View attachment 3574169
Cc Vincenzo Jr