The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Wewe Chai imekufikisha wapi?
Hahaha 😂, duh!Usijichange ukaenda kushabikia mpira na mdingi huku umepiga me si nilijichanganya nikapayuka "Hee hebu msikieni huyu matako nae" nililala hosbito wiki mbili 🤣
Bangi haina shida kama watu wanavyodhani, ila madhara yake yanategemea Kati ya ntu na ntu.😊😁
Nashaur hii thread usindikizwe na wimbo wa 20% Bange Bange Bange.
Bange ni nzuriii ikitumika kiasi na kwa nidhamu.
Nawa ambiaga watu KAMA HUJAWAI KUTUMIA KILEVI CHOCHOTE BASI HUJAWAI KUISHI.
Usipime mzeeeHahaha 😂, duh!
Na tuifanye bangi kuwa dozi yetu kutwa.Usipime mzeee