Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
Musk ana kitu chake anapigaga sijui kinaitwa ketamine😅Usiandike kitu usichokijua,addiction yeyote hua inafurahiwa na mtumiaji wake,tajiri namba moja Duniani nae anapiga kijiti,kila mtu na maamuzi yake.
Duh 🤔Bangi ni kama pombe tuu, ukiona huiwezi acha. Tukiwa shule form three ujana ujana wa kujaribubkila kitu, kuberi, pombe, fegi, ugoro, kuna siku mpuuzi mmoja si akatupeleka shamba la miwa, kumbe katikati wanalima bange.
Tukakuta wajuba wanakoka, ebana si tukajaribu pafu moja moja. 😁
Mimi nilihisi kama kichwa kinapasuka na nina paa mawinguni.
Jamaa yangu mmoja yeye aliqnza kucheka mpaka anagalagala chini, anasema eti tupo uchi. 😁
Mkali mmoja na hesabu ni marehemu wa kuitwa Carlos, yeye alianza kutembea anaruka ka.a anaruka mitaro hivi. Tukamuuloza vipi, akasema kuna mitaro mingi kinoma wazee. Jamaa yangu Henry yeye alitabasamu sana siku hiyo, akawa anasema twendeni tukalime shamba la shule wazee. 😁
Ilibidi wale mabigi, watushike kwanza na kutulazimisha kuingia kwenye maji baridi mtoni na kutupa miwa mingi sana tule. 😁
Baada kama ya lisaa ndio tukawa sawa tena, tukarudi bwenini kimya kimya.
Mi nakumbuka nililala usingizi nilikuja amka mchana kesho yake. Naamka sio njaa ile, sijawahi sikia njaa kama ile tena.
Sijagusa kaya tena maisha yangu yote. 😁
Bangi na Maji ni marafiki wakubwa sana, Bangi stimu yake ni Miwa. Ukiona stimu imepanda sana wee chukua muwa mkubwa anza kula, kadiri unavyoula ndio bangi inakata.
Au kama ni mtoni, we jitupie, ukikaa dakika 15 utaona stimu inakata na unatoka ukiwa poa tuu.
Mvuta bangi yeyote akivuta bangi, lazima akaoge au utafune muwa.
Umeona alivyonitaja kimya kimya, acha nimfungulie shauri la uchafuzi, nidai fidiaNae kumbe ni member Binti wa zamani
Hakikisha una wakili wa kueleweka 😶Leo umegusa kama binti wa zamani vile 😁
Hapa bila bangi tayari kichwa kimechangamka, najua nikijaribu tu mnakuja kunitembelea Mirembe 😂Binti wa zamani na bangi wapi na wapi😅
Naona ni kama pombe tuBangi ni mbaya. Mtu asivute.
Ustahimilivu wa mwili, kuna wengine kutokana na unywaji wa pombe au matumizi yoyote ya drugs kwa kipindi kirefu inapelekea kubadili rewards system ya ubongo yaani jinsi unavyopokea na kuchakata taarifa na kuzirudisha katika mwili kwa wengine ubongo unajikuta automatically una adjust kulingana na matumizi mengi ya kitu unakuwa unarudisha response ambayo haiwi mbaya na kupelekea yule mtumiaji kutojisikia au ku react vibaya tofauti na mwingine na pia liver inakuwa ina break down ile toxic too much faster hii hupelekea mtu anauwezo wa kutumia kilevi au dawa bila kuathirika kwa Kiwango kibaya na hii hutofautiana kwa mtu na mtu, so mwili unakuwa unajijengea ustahimilivu wake kama defence dhidi ya hivyo vituTolerance? Labda unieleweshe kidogo hapo mkuu! Tolerance ina relate vipi na wengine kugusa tu ulevi shughuli zao zinaenda mrama?
Anaona aibu🤭Umeona alivyonitaja kimya kimya, acha nimfungulie shauri la uchafuzi, nidai fidia
Ndio ule uchangamfu wa jela tuanaoutaka😂Hapa bila bangi tayari kichwa kimechangamka, najua nikijaribu tu mnakuja kunitembelea Mirembe 😂
Hapo nimekuelewa mkuu! Kumbe kuna watu liver zao zinastahimili sumu nyingi na wengine kidogo tu ini limekwiva!Ustahimilivu wa mwili, kuna wengine kutokana na unywaji wa pombe au matumizi yoyote ya drugs kwa kipindi kirefu inapelekea kubadili rewards system ya ubongo yaani jinsi unavyopokea na kuchakata taarifa na kuzirudisha katika mwili kwa wengine ubongo unajikuta automatically una adjust kulingana na matumizi mengi ya kitu unakuwa unarudisha response ambayo haiwi mbaya na kupelekea yule mtumiaji kutojisikia au ku react vibaya tofauti na mwingine na pia liver inakuwa ina break down ile toxic too much faster hii hupelekea mtu anauwezo wa kutumia kilevi au dawa bila kuathirika kwa Kiwango kibaya na hii hutofautiana kwa mtu na mtu, so mwili unakuwa unajijengea ustahimilivu wake kama defence dhidi ya hivyo vitu
Aje anilipe fidia 🤣Anaona aibu🤭
Eti uchangamfu wa jela 🤣 🤣Ndio ule uchangamfu wa jela tuanaoutaka😂
Usinambie hutumii kilevi yoyote ile la mama😳
Wewe bwana mdogo Foffana unahitajika na msihangazi huku, kuna maswali ya kujibu!Aje anilipe fidia 🤣
Lol 😂 hutumii je sasa we nawe? Unakosa vingi🤣 sasa imagine ujitwike hii kitu halafu uingie mzigoni, oyaa mbona ba mtu atakesha nayo🤪Eti uchangamfu wa jela 🤣 🤣
Situmii chochote labda ile chakula ya usiku roho inapenda 😂 , nina kichwa chepesi sana.
Nishamaliza ujana 🤣Lol 😂 hutumii je sasa we nawe?
Yani ba mtu naye anakua amejitwika au tunakeshaje sasa hapo?Unakosa vingi🤣 sasa imagine ujitwike hii kitu halafu uingie mzigoni, oyaa mbona ba mtu atakesha nayo🤪
Niliwahi kuona mahali Vincenzo Jr anasema hiyo combo ni hatari 🔥🔥Starehe nyingine haziishagi hivyo..
Ndio mnajitwisha mavituz wote mnakiwasha moaka kukuchee🤭🤸🏽♀️
Oyaa! Usiombee😍Niliwahi kuona mahali Vincenzo Jr anasema hiyo combo ni hatari 🔥🔥
Ndio ilikuwa ni superb 👌🏽 ni miaka mitatu imepita, aisee moment ilikuwa sio ya kitoto🥲Vipi wewe ulivyojaribu ilikuwaje? au ndiyo mambo yako regularly?
Wewe ilikuathiri vipi?Mfano kivipi
Yeah, Very awesome. Halafu haina madhara, yenyewe ina positives tu sjui kwann imewekwa hapoMushrooms?? wtf 😳
Situmii bangiWewe ilikuathiri vipi?