Duhh beer mbili! Na kuna watu wanakata crate😳Kutumia mara kwa mara pombe ni jambo mojawapo la kuongeza tolerance level lakini Kuna watu by nature tolerance level tayari Iko chini, unashangaa mtu kanywa bia mbili tu kashawehuka au kuanza kujisikia vibaya. Mfano pia Wajapan, Wachina na Wakorea hawawezi kunywa pombe kwa kiwango kikubwa sana kwa sababu hulewa mapema sana(Asian flush).
Vaping ni hatari zaidi nasikia! Kukufanya uwe hivyo nahisi ni unaitumia ukiwa katika state ya namna hiyo! Ivute ukiwa na vibe utaona utofauti wake🤔Nashukuru sina hamu nayo tena na siipend tu inanifanya nakuwa km nimenyeshewa mvua hata sigara nayo ukiivuta mwili unaishiwa nguvu ghafla bora kufanya vaping na pombe
Kama haujui unachoongea bora ukae kimya…Ukijiingiza kwenye addiction yeyote ile,hakikisha hela unayo,
Mtu hachanganyikiwi kwa addiction bali kwa kutokua na hela na kutokumudu gharama za hiyo addiction yake.
Mkuu wewe upo kwenye kundi lipi la watumiaji kati ya uliyoyataja?Hola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
View attachment 3563320
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)
View attachment 3563321
Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.
View attachment 3563322
Maswali yangu ni:
* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?
* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?
* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?
Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
- Bangi
- Weed
- Marijuana
- Ganja
- Herb
- Grass
- Pot
- Dope
- Mary Jane
- Joint (wakati imevutwa kama sigara)
- Spliff
- Hash / Hashish
- Skunk
- Kush
- Blaze (slang ya kutumia)
View attachment 3563324
ulishawahi kulazwa hapo😝😝😝Hapa na historia napo bwashee 😁😁😁
Ndio mama mchunga , kisa bangi 😜ulishawahi kulazwa hapo😝😝😝
🤣🤣🤣ili kuokotesha makopo au ulianza kupiga watuNdio mama mchunga , kisa bangi 😜
Acha kabisa bangi sio poa ,sema nilichnganya na pombe🤣🤣🤣ili kuokotesha makopo au ulianza kupiga watu
Nae kumbe ni member Binti wa zamaniLeo umegusa kama binti wa zamani vile 😁
Kama huna akili ya uelewa bora uache kua unasoma comment za wanaume.K
Kama haujui unachoongea bora ukae kimya…
Mimi mbona sipati madhara mwaka wa 12 huuVitu ambavyo havionjwi ni bangi na unga cocaine, heroin..nk
Addiction yake sio poa