Duhh umeweza sana! Hongera kwa kuacha kuna wengine wanashindwa kabisa kujicontrol wanaishia kuwa waraibu wa pombe,sigara au bangi!Bangi ilikua mwanzo wa matatizo mwanzoni wakati tunaanza kuvuta niliona nilichelewa wp lkn siku zinavyozid kwenda ndyo nazid kuharibikiwa bangi ilinifanya niwe naitegemea hasa usiku nilikua sipati usingizi mpaka nivute bangi na nikiamka usiku wa manane nilikuwa siwezi kulala mpaka nivute tena bangi iliniletea anxiety ikifika jioni nawaza kama nipo sehemu ambayo siwezi kuvuta basi hiyo siku nitakaa macho hadi asubuh bila kupata usingizi nilikua nakaa hata siku mbili bila kupata usingizi kama sijavuta ilinitesa sana nashukuru niliacha 2023 kuvuta bangi ile hali ya kukosa usingizi ikanifanya nihamie kwenye tungi sasa nimeacha vyote bangi sivuti,pombe sinywi,sigara sivuti,punyeto sipigi naomba ile hali isinirudie tena yalikua mateso
Duhh hii ni mpya, umenipa somo jipya!Bangi hukuongezea kile ambacho unacho. Haibadili kitu. Kama una uchizi uliopelea bange inakupeleka kwenye uchizi kamili. Kama unaakili nzuri bangi inaziboresha zaidi ya zilipoishia. Onyo usivute bangi kama unaakili %100 maana itaziongeza ziwe 130%
Naitolea wapi mkwe ,mimi niko mbeya huku milimani nalima viazi na kula ugoroAww kumbe kuna nyingine si mchezo! Kwakweli wako peace sana hawanaga uchawi!👌🏽
Fanya mpango nionje hiyo ya kusini mkwe😅
Hivi huwa ina kitu gani kinaleta hiyo njaa kali mpaka masikini hawawezi kuenjoy kama hawana pesa ya kujilisha! Kugongea sio poa aisee😅Sasa mtu utakuta hela hana,kula yake mbovu na bange yenyewe mpaka aende maskani akagongee wana,ataacha kudata huyo?
Bange kama pesa ya uhakika unayo na huna stress 😩 za hovyo haiwezi kukuzingua hata siku moja.
Kwahiyo uliacha au ilikuwaje? Na kila mtu anahisi kama anapaa, hakuna anayezama😅Back in time mambo ya kuiga iga wakina 2pac,
Nilikuwa nikivuta bangi nakuwa nahisi kama kila mtu ananisema.
Najisikia aibu nakaa ndani gizani kwa muda mrefu uku nikijiona kama napaa hivi😀😀😀
Mimi sina ushauri wa kumshauri mtu anayevuta bangi lakini nadhani si kitu kizuri.
😃😃 upo kuniumbua mkwe ,kwa ugoro sina cha kusema maana sijawahi kuonja sipo tayari kuchafua meno yanguUgoro tena mkwe, umefiki huko? Hivi una taste vipi huo ugoro🫢
Kama zilivyo starehe zote zinataka gharama hata MAWEED pia yanataka gharama...Wengi wanavuta makushabu ndio wanachanganyikiwa
Siwezi ku control bangi kichwa yangu ina RAM ndogo.Kwahiyo uliacha au ilikuwaje? Na kila mtu anahisi kama anapaa, hakuna anayezama😅
Duhh na grants? Sio unawaka balaa🤔Kama zilivyo starehe zote zinataka gharama hata MAWEED pia yanataka gharama...
kama ambavyo kuna kuna pombe zinauzwa mpaka 100k pia zipo za 500,hata plantae ni hivohivo...
Nunua bush skunk ya hapo songea tu unapata bangi nzuri kwa tz hii,elf 5 tano tu unapata robo ya puri la blunt bubu...
nunua na grants 1 weka ndan kila unapovuta kunywa na gras yako moja unaenjoy sanaaa...
Inawezekana pia kichwa chako hakiendani na hizo mambo, labda utumie kitu kingine instead! Ila kama huna kichwa ya ulevi ni hatari..Siwezi ku control bangi kichwa yangu ina RAM ndogo.
Bangi inahitaji RAM kubwa sana mi nahisi hivyo
Umemaliza kila kitu mkuu.ThreadClosed!
aina ya ubongo (namna emotion part ya muhusika inavyo react )
Una BANG na PUSHER skuiz seran bhn 😂Sio lazima Kila mtu utakayeji-engage naye kwenye jambo fulani muwe na mahusiano ya namna hiyo m/kiti!
There’s more to life..☺️