Naweza kibishana KIOKOTE ndg yangu?Huyo amekaa miaka 12 anatoa povu,Hajui watu Tumeishi na kusoma huko Madili yote tunayajua...Tukiwastua watu humu wanaumia maana ndio Dili zao,Vijana fanyeni kazi.
Naam mkuu [emoji3], upo sahihiTuache utani Arusha kuna pisi kali kama sisimizi tena for the LOKOSTI
Bila kushurutishwa na mtu, nasema Arusha ina watoto wazuri kwenye viwanja vingi.Bora utusaidie kusema mkuu.
Hivi ukiwa viwanja unaweza kufananisha warwmbo wa dar na Arusha mkuu?
Weka ushabiki pembeni.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Dj mark mkono wa mwanamume na MC rass pamoja na mkurugenzi wao PEDE bado wapo au waliondoka?Hata Zambezi pia iliyopo riverside Ubungo Kuna vitoto pale vinapiga Sachi vikiona umelewa
We jamaa unabadilisha sana IDBora utusaidie kusema mkuu.
Hivi ukiwa viwanja unaweza kufananisha warwmbo wa dar na Arusha mkuu?
Weka ushabiki pembeni.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Pala ni sanawariInanichanganya sana ile mitaa Mara Philips mara Sanawari basi hovyo tu kwa sisi wageni.
Id gani nyingine?We jamaa unabadilisha sana ID
Nini Siri ya mafanikio yako?[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
umenikumbusha sana Crystal Club Shimoni dah ilikuwa hatari sanaDj mark mkono wa mwanamume na MC rass pamoja na mkurugenzi wao PEDE bado wapo au waliondoka?
Utaratibu wa usalama wa mteja na Mali zake Ni chini ya ulinzi wa bar mkuuPole, mkuu. Unless kuna mahali walisema wanahusika na ulinzi wa magari kwenye hiyo parking, sioni kama ni makosa yao. Sehemu nyingi sana za starehe, unatafuta mlinzi unamwambia akuchekie mtakutana ukitoka. Parking sehemu kama hizo na nyingine nyingi is always at your own risk, goes without saying.
Duh la fiesta kitambo Sana tangu enzi hizo iko chini ya Abel mkitoka hapo mnaelekea 'bugaluu'.Last time nimeenda Picnic nimeona wameboresha kidogo kuna kaunta kubwa ndani na walinzi (bouncers) tatizo pale ni parking I suggest kama unaenda pale ni bora ukae nje barazani at least unaweza kuwa unapiga chabo gari yako (sema uwe umejiandaa na kile kibaridi cha usiku) ufanye yako huku ukingonjea msosi wako coz wako vizuri kwenye misosi sio mbaya sana, huku ukiendelea kufanya utalii wa wanyama pori barabarani wanavyojipitisha. kuangalia raha sana hahha .Kitu kingine kizuri about Picninc ni Maliwato zao ziko vizuri sana usafi mzuri sana Maji ya moto na TV ndani chooni.
Try La fiesta Njiro PPF pia kuzuri ulinzi kama wote nice vibe.
'Kolabasi',Masai Camp etc gone are the days....umenikumbusha sana Crystal Club Shimoni dah ilikuwa hatari sana
Na ndio maana wakienda wanahakikisha wanapiga picha nyingi Sana huko mitandaoni hahahHuko hakufikiki kirahisi ndio maana hata kuandika ni ngumu[emoji16]
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Anaitwa bodea na kwelii kapungua Sanaa ila picnic hata waisemaje miaka yote inajaza. Siri kubwa ni wahudumu walivyo Kwanzaa wamefungasha, mavazi yenyewe hivyo visketi vifupii usiombe alafu wengi kwa muonekano wazuri na huo ndio ugonjwa wa wanaume wengi walevi hivyo kukosa wateja sahau pale Kuna watu ni kama members pale miaka kibao na hela wanazo ila hawakosi kutia timu. Usalama kweli kwa magari ni mbaya kutokana na mazingira ya hiyo baa ilivyo kwani Kuna misuruu ya vibaa vingine kibao kama Africana na kadhalika na ukiangalia parking ni pembeni ya Barabara kwa kuwa Hawana official parking. Kama mgeni nakushauri tumia usafiri Wa kukodisha lakini kwa sisi wenyeji mbona tupo siku zote na hatujawahi pigwa kwa kuwa tumejenga connection pale hivyo si rahisi wakukufamu kukugusa ila pale machangu kibao huyo anayemuita muhudumu most likely alikuwa changu anawinda na wanafahamu wageni.Yule dada alishajipunguza sana ule unene hadi nilimsahau, sahivi ana umbo la kawaida sana tu.
Hahaha kumbe hata ukinunua cappucccino tuNa ndio maana wakienda wanahakikisha wanapiga picha nyingi Sana huko mitandaoni hahah
Boogaloo lounge au boogaloo ya Njiro complex?Duh la fiesta kitambo Sana tangu enzi hizo iko chini ya Abel mkitoka hapo mnaelekea 'bugaluu'.
Huwa napenda mtu mkweli...bora umeongea kuwa nawe ni mteja na kivutio ni mizigo hahaAnaitwa bodea na kwelii kapungua Sanaa ila picnic hata waisemaje miaka yote inajaza. Siri kubwa ni wahudumu walivyo Kwanzaa wamefungasha, mavazi yenyewe hivyo visketi vifupii usiombe alafu wengi kwa muonekano wazuri na huo ndio ugonjwa wa wanaume wengi walevi hivyo kukosa wateja sahau pale Kuna watu ni kama members pale miaka kibao na hela wanazo ila hawakosi kutia timu. Usalama kweli kwa magari ni mbaya kutokana na mazingira ya hiyo baa ilivyo kwani Kuna misuruu ya vibaa vingine kibao kama Africana na kadhalika na ukiangalia parking ni pembeni ya Barabara kwa kuwa Hawana official parking. Kama mgeni nakushauri tumia usafiri Wa kukodisha lakini kwa sisi wenyeji mbona tupo siku zote na hatujawahi pigwa kwa kuwa tumejenga connection pale hivyo si rahisi wakukufamu kukugusa ila pale machangu kibao huyo anayemuita muhudumu most likely alikuwa changu anawinda na wanafahamu wageni.
Njiro complex boss.Boogaloo lounge au boogaloo ya Njiro complex?