Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Bora utusaidie kusema mkuu.
Hivi ukiwa viwanja unaweza kufananisha warwmbo wa dar na Arusha mkuu?
Weka ushabiki pembeni.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Bila kushurutishwa na mtu, nasema Arusha ina watoto wazuri kwenye viwanja vingi.

Dar watoto wazuri wapo kwenye exquisite places sanasana Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingine za daraja hilo. Kwingine kwingi ni average chicks tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole, mkuu. Unless kuna mahali walisema wanahusika na ulinzi wa magari kwenye hiyo parking, sioni kama ni makosa yao. Sehemu nyingi sana za starehe, unatafuta mlinzi unamwambia akuchekie mtakutana ukitoka. Parking sehemu kama hizo na nyingine nyingi is always at your own risk, goes without saying.
Utaratibu wa usalama wa mteja na Mali zake Ni chini ya ulinzi wa bar mkuu
 
Last time nimeenda Picnic nimeona wameboresha kidogo kuna kaunta kubwa ndani na walinzi (bouncers) tatizo pale ni parking I suggest kama unaenda pale ni bora ukae nje barazani at least unaweza kuwa unapiga chabo gari yako (sema uwe umejiandaa na kile kibaridi cha usiku) ufanye yako huku ukingonjea msosi wako coz wako vizuri kwenye misosi sio mbaya sana, huku ukiendelea kufanya utalii wa wanyama pori barabarani wanavyojipitisha. kuangalia raha sana hahha .Kitu kingine kizuri about Picninc ni Maliwato zao ziko vizuri sana usafi mzuri sana Maji ya moto na TV ndani chooni.

Try La fiesta Njiro PPF pia kuzuri ulinzi kama wote nice vibe.
Duh la fiesta kitambo Sana tangu enzi hizo iko chini ya Abel mkitoka hapo mnaelekea 'bugaluu'.
 
Yule dada alishajipunguza sana ule unene hadi nilimsahau, sahivi ana umbo la kawaida sana tu.
Anaitwa bodea na kwelii kapungua Sanaa ila picnic hata waisemaje miaka yote inajaza. Siri kubwa ni wahudumu walivyo Kwanzaa wamefungasha, mavazi yenyewe hivyo visketi vifupii usiombe alafu wengi kwa muonekano wazuri na huo ndio ugonjwa wa wanaume wengi walevi hivyo kukosa wateja sahau pale Kuna watu ni kama members pale miaka kibao na hela wanazo ila hawakosi kutia timu. Usalama kweli kwa magari ni mbaya kutokana na mazingira ya hiyo baa ilivyo kwani Kuna misuruu ya vibaa vingine kibao kama Africana na kadhalika na ukiangalia parking ni pembeni ya Barabara kwa kuwa Hawana official parking. Kama mgeni nakushauri tumia usafiri Wa kukodisha lakini kwa sisi wenyeji mbona tupo siku zote na hatujawahi pigwa kwa kuwa tumejenga connection pale hivyo si rahisi wakukufamu kukugusa ila pale machangu kibao huyo anayemuita muhudumu most likely alikuwa changu anawinda na wanafahamu wageni.
 
Huwa napenda mtu mkweli...bora umeongea kuwa nawe ni mteja na kivutio ni mizigo haha

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom