Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Inanichanganya sana ile mitaa Mara Philips mara Sanawari basi hovyo tu kwa sisi wageni.
Pale ni Sekei kwa upande wa mbele wa Hotel na nyuma ni Uzunguni/Gymkana...ila uzunguni ni jina la zamani sana sidhani hata kama bado linatumika.
 
Hapo ushukuru kiongozi wao Yuko Canada
 
Utaratibu wa usalama wa mteja na Mali zake Ni chini ya ulinzi wa bar mkuu

Usalama wako na mali zako ndani ya bar ni jukumu lao. Usalama wa gari lako hauwahusu, ndio maana jamaa kaja hapa kulalamika na sio kuchukua sheria ili afidiwe. Unless kuna mahali walikuahidi ulinzi wa gari lako na unaweza kuthibitisha, huna claim. Cha muhimu nenda huko wanapokuhakikishia ulinzi.
 
Hapo skuizi mbona afadhali Sana.
 
Yes ni. Mkoa wenye askari wengi wa usalama kutokana na Historia yake ya uhalifu, isitoshe mkoa huu pia upo mpakani. Polisi na wenyewe wahalifu vile vile na pesa zinaishia kwa wambulu na warangi
Ok, na hivi ARUSHA ni jirani na CCP MOSHI basi ndo kabisa, wanawapika pale halafu wanawamwaga tu [emoji3]
 
Yes ni. Mkoa wenye askari wengi wa usalama kutokana na Historia yake ya uhalifu, isitoshe mkoa huu pia upo mpakani. Polisi na wenyewe wahalifu vile vile na pesa zinaishia kwa wambulu na warangi
Ni wengi halafu wana njaa kinoma yaani, kama matrafiki hata jero hawaachi [emoji23]
 
Yes picnic ndo lango la jiji.
 
Wivu tu tena wa kike kutaka kuchafua biashara ya watu, tena hata kuandika tu huu uzi kama vile akili za kushikiwa, Picnic nyingine zenye majina makubwa hapa Ars, usalama ndani ya Baa na nje upo tena wa kiwango, lakini dosari ndogo ndogo zinaweza kuwepo lakini sio kwa hali hiyo!
 
Jifikirie wewe ni mwekezaji wa hii bar. Umeshatumia mabilioni ya pesa kuweka miundombinu, kulipia kodi, kuajiri, nk. Unaishi zako Mbezi beach, Dar es Salaam, Mara umeamka zako saa 9 usiku, uanze kuwaza mambo mengine, unapitia pitia huku unakutana na uzi kama huu.

Baada ya kuzisoma na kuzitafakari comment zote, unaanza kufikiri kufanya mabadiliko kadha
wa kadha ili kuboresha usalama wa wateja.

Lakini badala ya kujifanyia anavyowaza, unaamua kuomba ushauri hapa hapa JF, kisima cha maarifa, hatua za kuchukua haraka, na mipango ya muda mrefu.

Anaomba ushauri wako. Endekea kutiririka hapa.
 
Tembea uone.
Kwa taarifa yako wasichana wakali wapo Arusha.
Tatizo hantembei

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tena ongeza....wasichana wakali, masikini wanaojitafutia wako ARUSHA
Unakutana na mdada muuza soksi, sijui mchoma mahindi, bususu sokoni wakali mbaya....huwa najiwazia hivi hawa wakijipaka mafuta ya marytina na kufuga nywele itakuwaje?

Elewa Arusha kuna kuzaliana Kati ya wanyaturu, wachagga, wambulu, wapare, wanyiramba among others

Hivi wewe unajua wasichana wa kimbulu wanavyoamsha??? Tofautisha Kati ya wasichana warembo na wale wazuri....urembo utanunua...uzuri ni natural
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…