wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
😄😄😄😄Hahaha kumbe hata ukinunua cappucccino tu
Inatosha
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄😄Hahaha kumbe hata ukinunua cappucccino tu
Inatosha
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Pale ni Sekei kwa upande wa mbele wa Hotel na nyuma ni Uzunguni/Gymkana...ila uzunguni ni jina la zamani sana sidhani hata kama bado linatumika.Inanichanganya sana ile mitaa Mara Philips mara Sanawari basi hovyo tu kwa sisi wageni.
Hapo ushukuru kiongozi wao Yuko CanadaWakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa.
.
Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero.
.
Nikafika pale nikaagiza Kinywaji Changu, Grants Ile Kubwa nikawa nanyonya mdogo², Sasa Kuna Binti akawa amekaa kaubta ananiangalia sana.
.
Badae akamtuma mhudumu akwambia, kamwambie yule Kaka nimempenda Jinsi alivyo mrefu na Rangi yake nyeusi nikasema asante.
.
Sasa nikaenda Chooni yule mwanamke ananikonyeza halafu for the time being akanifata chooni Ananambia mbn na kuita Uje Halafu hauji, Eti njoo ule nyama Sawa Nikamjibu Poa.
.
Ila Sikwenda maana nilishaambiwa Niwe makini na wahudumu+wateja, badaye kanifata nilipokaa Ananambia ninahamia Hapa Tukae Wote.
.
Wakati Huo Nimepaki Gari nje, Nikamjibu sitakaa Sana Ila nitaondoka Kwenda Kupumzikia, akajibu nitakusindikiza, Wala sikujibu chochote.
.
Badae Akili ikanambia Toka nje kaangalie gari, nikatoka Ila kabla sijatoka nje nikachukua Kinywaji Changu nikapeleka counter Kwa usalama zaidi.
.
Ila natoka nje kupiga macho Kwenye gari Naona Mtu Yuko ndani ya gari kusogea nakuta anafight kufungua radio, alivyoniona akakurupuka akataka kukimbia nikamuwahi nikampiga teke akaanguka Chini, nikampa teke lingine la Tumboni akatulia, nikaona gari ya Polisi wale Polisi wakaja wakaniuliza vipi nikawaelezea wakamchukua wakamweka Kwenye gari Yao.
.
Kurudi Kuangalia gari kumbe alivunja kioo Kidogo Akaingiza Mkono aka-unlock zile lock za milango.
.
Nikaenda kuwalezea Uongozi wa Bar Wala hawajali wanajibu majibu ya Kawaida Tu.
.
Nikachukia nikaenda nikachukua kinywaji Changu nikasepa.
.
Wakuu sitaki kumwaribia biashara Ila Pale Sio Pazuri Wezi ni Wengi Sana, na Sjui Uongozi wa Picnic Hawalijui Hilo.
Utaratibu wa usalama wa mteja na Mali zake Ni chini ya ulinzi wa bar mkuu
Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa.
.
Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero.
.
Nikafika pale nikaagiza Kinywaji Changu, Grants Ile Kubwa nikawa nanyonya mdogo², Sasa Kuna Binti akawa amekaa kaubta ananiangalia sana.
.
Badae akamtuma mhudumu akwambia, kamwambie yule Kaka nimempenda Jinsi alivyo mrefu na Rangi yake nyeusi nikasema asante.
.
Sasa nikaenda Chooni yule mwanamke ananikonyeza halafu for the time being akanifata chooni Ananambia mbn na kuita Uje Halafu hauji, Eti njoo ule nyama Sawa Nikamjibu Poa.
.
Ila Sikwenda maana nilishaambiwa Niwe makini na wahudumu+wateja, badaye kanifata nilipokaa Ananambia ninahamia Hapa Tukae Wote.
.
Wakati Huo Nimepaki Gari nje, Nikamjibu sitakaa Sana Ila nitaondoka Kwenda Kupumzikia, akajibu nitakusindikiza, Wala sikujibu chochote.
.
Badae Akili ikanambia Toka nje kaangalie gari, nikatoka Ila kabla sijatoka nje nikachukua Kinywaji Changu nikapeleka counter Kwa usalama zaidi.
.
Ila natoka nje kupiga macho Kwenye gari Naona Mtu Yuko ndani ya gari kusogea nakuta anafight kufungua radio, alivyoniona akakurupuka akataka kukimbia nikamuwahi nikampiga teke akaanguka Chini, nikampa teke lingine la Tumboni akatulia, nikaona gari ya Polisi wale Polisi wakaja wakaniuliza vipi nikawaelezea wakamchukua wakamweka Kwenye gari Yao.
.
Kurudi Kuangalia gari kumbe alivunja kioo Kidogo Akaingiza Mkono aka-unlock zile lock za milango.
.
Nikaenda kuwalezea Uongozi wa Bar Wala hawajali wanajibu majibu ya Kawaida Tu.
.
Nikachukia nikaenda nikachukua kinywaji Changu nikasepa.
.
Wakuu sitaki kumwaribia biashara Ila Pale Sio Pazuri Wezi ni Wengi Sana, na Sjui Uongozi wa Picnic Hawalijui Hilo.
Ok, na hivi ARUSHA ni jirani na CCP MOSHI basi ndo kabisa, wanawapika pale halafu wanawamwaga tu [emoji3]Yes ni. Mkoa wenye askari wengi wa usalama kutokana na Historia yake ya uhalifu, isitoshe mkoa huu pia upo mpakani. Polisi na wenyewe wahalifu vile vile na pesa zinaishia kwa wambulu na warangi
Ni wengi halafu wana njaa kinoma yaani, kama matrafiki hata jero hawaachi [emoji23]Yes ni. Mkoa wenye askari wengi wa usalama kutokana na Historia yake ya uhalifu, isitoshe mkoa huu pia upo mpakani. Polisi na wenyewe wahalifu vile vile na pesa zinaishia kwa wambulu na warangi
Yes picnic ndo lango la jiji.Anaitwa bodea na kwelii kapungua Sanaa ila picnic hata waisemaje miaka yote inajaza. Siri kubwa ni wahudumu walivyo Kwanzaa wamefungasha, mavazi yenyewe hivyo visketi vifupii usiombe alafu wengi kwa muonekano wazuri na huo ndio ugonjwa wa wanaume wengi walevi hivyo kukosa wateja sahau pale Kuna watu ni kama members pale miaka kibao na hela wanazo ila hawakosi kutia timu. Usalama kweli kwa magari ni mbaya kutokana na mazingira ya hiyo baa ilivyo kwani Kuna misuruu ya vibaa vingine kibao kama Africana na kadhalika na ukiangalia parking ni pembeni ya Barabara kwa kuwa Hawana official parking. Kama mgeni nakushauri tumia usafiri Wa kukodisha lakini kwa sisi wenyeji mbona tupo siku zote na hatujawahi pigwa kwa kuwa tumejenga connection pale hivyo si rahisi wakukufamu kukugusa ila pale machangu kibao huyo anayemuita muhudumu most likely alikuwa changu anawinda na wanafahamu wageni.
Wivu tu tena wa kike kutaka kuchafua biashara ya watu, tena hata kuandika tu huu uzi kama vile akili za kushikiwa, Picnic nyingine zenye majina makubwa hapa Ars, usalama ndani ya Baa na nje upo tena wa kiwango, lakini dosari ndogo ndogo zinaweza kuwepo lakini sio kwa hali hiyo!Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa.
.
Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero.
.
Nikafika pale nikaagiza Kinywaji Changu, Grants Ile Kubwa nikawa nanyonya mdogo², Sasa Kuna Binti akawa amekaa kaubta ananiangalia sana.
.
Badae akamtuma mhudumu akwambia, kamwambie yule Kaka nimempenda Jinsi alivyo mrefu na Rangi yake nyeusi nikasema asante.
.
Sasa nikaenda Chooni yule mwanamke ananikonyeza halafu for the time being akanifata chooni Ananambia mbn na kuita Uje Halafu hauji, Eti njoo ule nyama Sawa Nikamjibu Poa.
.
Ila Sikwenda maana nilishaambiwa Niwe makini na wahudumu+wateja, badaye kanifata nilipokaa Ananambia ninahamia Hapa Tukae Wote.
.
Wakati Huo Nimepaki Gari nje, Nikamjibu sitakaa Sana Ila nitaondoka Kwenda Kupumzikia, akajibu nitakusindikiza, Wala sikujibu chochote.
.
Badae Akili ikanambia Toka nje kaangalie gari, nikatoka Ila kabla sijatoka nje nikachukua Kinywaji Changu nikapeleka counter Kwa usalama zaidi.
.
Ila natoka nje kupiga macho Kwenye gari Naona Mtu Yuko ndani ya gari kusogea nakuta anafight kufungua radio, alivyoniona akakurupuka akataka kukimbia nikamuwahi nikampiga teke akaanguka Chini, nikampa teke lingine la Tumboni akatulia, nikaona gari ya Polisi wale Polisi wakaja wakaniuliza vipi nikawaelezea wakamchukua wakamweka Kwenye gari Yao.
.
Kurudi Kuangalia gari kumbe alivunja kioo Kidogo Akaingiza Mkono aka-unlock zile lock za milango.
.
Nikaenda kuwalezea Uongozi wa Bar Wala hawajali wanajibu majibu ya Kawaida Tu.
.
Nikachukia nikaenda nikachukua kinywaji Changu nikasepa.
.
Wakuu sitaki kumwaribia biashara Ila Pale Sio Pazuri Wezi ni Wengi Sana, na Sjui Uongozi wa Picnic Hawalijui Hilo.
Kuna siku inaweza kula nyama ya mbuzi isiwe na ladha, huwa inategemea na mbuzi alivyo
...Una uhakika ?Na cha kushangaza waweza kuwa ni Mkoa wenye Polisi wengi kuliko mikoa yote Tanzania
Uhakika gani? hujaliona neno "waweza kuwa" kwenye hiyo comment?...Una uhakika ?
Suppose hivyo ulivyoelewa awali ndivyo nilivyokuwa nimekusudia, unataka kubisha? Kwa hoja gani? Funguka...Una uhakika ?
Muwe mnalewa kimkakatiHata Zambezi pia iliyopo riverside Ubungo Kuna vitoto pale vinapiga Sachi vikiona umelewa
Wewe unaishi Msikitini au Kanisani, eti? Kitimoto wewe.Acha Uwongo,taja hizo sehemu zingine zenye wizi.
Tena ongeza....wasichana wakali, masikini wanaojitafutia wako ARUSHATembea uone.
Kwa taarifa yako wasichana wakali wapo Arusha.
Tatizo hantembei