Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Story in ukakasi, hakuna popcorn, Wala biscuit, Nimefanya majadiliano na wadau wangu mara nying Sana hapo picnic, ukienda kwa ajili ya kula tu, hakuna shida.

Sioni connection ya wizi na huyo Dada wa ndani, hata kidogo, halafu hakuna police anachukua mwizi kwa style hiyo kama mtu anayeenda sokoni kununua carrot.

The rule of a thumb, ukienda bar yeyote yenye wadada wanaojiuza, kuibiwa ni kawaida na sio kosa la Bar, ukitaka Bar ikusaidiaje sasa? Wakubusu?
 
Alinipa tahadhari Kwa maana Lile eneo ni Hatari Mzee, Kwanza pale parking yenyewe ni ts own risk

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

kila Mahala ni parking at your own risk, hata kwenye parking ya Ubalozi wa Marekani, Yani unafikiri ukiibiwa utarudishiwa au Nani anabeba hiyo risk?
 
Kwa mtu mstaarabu usiende hiyo bar ya Picnic Arusha ni pa hovyooo. Washamba wengi na usela mavi. Wahudumu ni wezi wa chenchi ukitoa elfu 20 kwenye bill yako kuwa makini wanaweza potea au kukubishia hujalipa. Yaani ni bar ya wasela mavi wanaojuana Kwa mgeni achana na mitaa hiyo kwanza michafu haswa. Ni tangu 2020 nikiwa Arusha sikanyagi hapo. WAJINGA WOTE WA ARUSHA KWAO PICNIC.
 
Soda 700 ukitoa buku wanazuga mwanaume huwezi dai change ya 300 nawe unapotezea yeye anasanya
 
Sikanyagi Tena Pale, jana nilienda Cocoriko ni afadhari Kidogo Kuna ustarabu, Arusha watu wengi Wana usela Mavi
 
Pole sana Mkuu, ilikuwaje hii?
 
Unapoenda picnic thamani yako ni ndogo mno.
Huo ni uwanja wa machangudoa.
Mtu anayejiheshimu huwezi kwenda pale.
Yaani pale hata kama napita na gari huwa napandisha vioo vya gari kabisa.

Picnic na Mrina ni mahali pa watu wa hovyo hovyo tu.
Kibaya zaidi ulionywa na bado ukaenda na eti unalalamika.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu watu wanajifunza kulingana na makosa, imeshatokea na nimejua ni pa hovyo Sana
 
Wale hawana parking maalum ni bar ya mtaani tu

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…