Kama ni sifa ni kwa JK aliyeibua mradi na kutafuta wabia wa kuuwezesha. Hapo hii awamu imekuja kumalizia kilichokwisha kupikwa na mtangulizi wake tu, sema kwa sasa watu wameamua kujitoa fahamu na kumsifia mtu mmoja kwa kila jambo bila kujali uhalisi wa jambo lenyewe.Wapendwa habari.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Matunda ya Rais magufuli twayaona. wa TZNIA leo kwa mara ya kwanza wameonja fly over. Woote tumpe kura 2020
Magu oyeeeeeeeeeeeeeeeee. kama ulaya vile
Mnajificha kwenye uchaguzi wa kijinga.Subirini aibu ya makinikia inawasubiri.Hasira za frustration za kushindwa uchaguzi wa marudio unazileta huku.Kuziondoa Kanye zitaisha.Utakuwa OK
Naona unaendeleza ujinga wako tu hapa, hilo daraja kwenye makaratasi ni bilioni 100, ila in reality sote tunajua haligharimu zaidi ya bilioni 10, hiyo pesa yote imeenda Japan kupitia SUMITOMO. Kwajiyo bilioni 8 sio pesa hadi useme daraja ni la msaada?Umesema niache Ujinga,nimeweka snapshot...hii hapa chini...Kupata taarifa zaidi ingia huu hapa Flyover Tazara yavuka nusu - JamiiForums/. NA hii link kutoka Michuzi blog..MICHUZI BLOG: RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BARABARA YA JUU (FLYOVER) MAKUTANO YA BARABARA YA MADELA NA NYERERE
TAMBUA KWAMBA INCHI WAHISANI WAKICHANGIA SEHEMU KUBWA YA MSAADA..NA MAKAMPUNI KUTOKA INCHI HUSIKA NDO YATASHINDA TENDA.MJAPANI ALICHANGIA BILLION 93.44 HUKU TANZANIA IKICHANGIA BILLION 8.3.
SIKU NYINGINE KABLA HUJAKURUPUKA KUMUITA MTU MJINGA JIRIDHISHE KWANZA.
View attachment 868789
View attachment 868780
Ya kwetu hayawahusu wakenya. Hata wao walianza na kamoja km sisi.nipo nairobi hayo makitu yapo kibao huku, namuomba Mungu hako ketu kamoja kasijezinduliwa na mkuu wa nchi...tutachekwa mno.
Wako busy na video fulani ila watakuja tu kuzungumzia cross ya keko!Jana nilipata mrejesho kutoka kwa wadau wangu wanaotumia njia hio kila siku. Wamesema flyover imesaidia sana. Na nimewaamini kwasababu kama ile foleni ingekuwa vile vile tungeshapata mapicha na msg za kuponda kupitia whatsapp kama kawaida ya habari mbaya zinavyopendwa.
Tunasubiri Ubungo sasa.
SureDaraja la Tazara ni msaada mkubwa wa magari yanayotokea port access lakini yale ya kutoka airport kwenda City center nadhani tatizo litakuwepo mbele kwenye traffic light za kwenda chang'ombe/veta.
Kipekee,imesaidia kwa asilimia 200. Ni moja ya maamuzi sahihi kwa kiasi kikubwa. Wakaz wa Tabata na njia ya Airport au Gongo la Mboto ni mashahidiJana nilipata mrejesho kutoka kwa wadau wangu wanaotumia njia hio kila siku. Wamesema flyover imesaidia sana. Na nimewaamini kwasababu kama ile foleni ingekuwa vile vile tungeshapata mapicha na msg za kuponda kupitia whatsapp kama kawaida ya habari mbaya zinavyopendwa.
Tunasubiri Ubungo sasa.
hahahaha naona huna hoja...umekimbilia kusema eti wote tunajua daraja eti halizidi bilion kumi ili uweze kujustify pesa ndogo serikali yetu pendwa iliyochangia.Ukweli ni kwamba bila pesa za msaada daraja lisingejengwa.Anyway endelea kujitoa ufahamu....una bisha ili mradi kubisha...Anyway hata na flyover interchange ya Ubungo utakuja kudai kwamba ni serikali imechanga cash...hahahaha...Naona unaendeleza ujinga wako tu hapa, hilo daraja kwenye makaratasi ni bilioni 100, ila in reality sote tunajua haligharimu zaidi ya bilioni 10, hiyo pesa yote imeenda Japan kupitia SUMITOMO. Kwajiyo bilioni 8 sio pesa hadi useme daraja ni la msaada?
Sure
Ushawahi kuganda Chang'ombe au Kamata masaa mawili?Kimbembe kipo Chang'ombe-->Kamata
Watu hawana shukrani, kwa aliekua anaijua adha ya tazara huko chang'ombe anaona cha mtoto
Kweli mkuu, kuna watu wanawaza kukosoa tu mda wote hawajui kushukuru hata kwa kidogoFoleni za Tazara itabakia historia, maana mida ya kuanzia saa 11 jion ilikua balaa.