... the most venerated engineer in Tz hadi daraja likapewa jina lake kwa utumishe wake uliotukuka anapaswa kujibu. Bahati nzuri ndiye huyo huyo ceo wa mabarabara!Anayepaswa kujibu ni Marehemu mwendazake. Mimi kama mwananchi sina jibu mkuu
1.) Unaposema haikuwa njia wakati iliwekwa lami na gari zilikuwa zinapita, tena hasa wakati wa Rush hour ilipunguza msongamano, nami nitakuuliza, njia maana yake ni nini?Njia Morocco - Mwenge ilitanuliwa na kua na njia nne kwa kigezeo cha kutumika kwa pesa za Uhuru, hiyo unayosema ni njia ya tano haikua njia bali ni utenganisho wa njia hizo mbili, ni sawa na kutoka palm beach kwenda uhuru heights useme ni njia tano, hapana utakua unakosea...
Je, kutoka palm Beach kwenda posta inahesabika ni njia nne au tano?1.) Unaposema haikuwa njia wakati iliwekwa lami na gari zilikuwa zinapita, tena hasa wakati wa Rush hour ilipunguza msongamano, nami nitakuuliza, njia maana yake ni nini?...
1.)Hiyo njia siifahamu, ila nieleweshe kwa hii ninayo ifahamu na nimeitumia sana tena kwa manufaa makubwa, ambayo wewe unasema haikuwa njia. Ilikuwa na lami na gari zilipita na ilipunguza sana msongamano wakati wa rushhour, sasa je nauliza, njia ni nini? Maana nisije nikawa nabishana kwa Kichina kumbe mtu anaongea kiJapan.Je kutoka palm Beach kwenda posta inahesabika ni njia nne au tano?
Kwa wakati ule walitanua barabara na haikua na kiwango kama wanachojenga hivi sasa, miuondombinu wanayoongeza hivi sasa haikua kama mwanzo, naona lengo lako ni kubisha na kutotaka kuelewa barabara iliotanuliwa leo ikija kufumiliwa na kujengwa upya kwa miaka mitano badae ni jambo la kawaida sana,
Illiteracy rate ya Tanzania ni kubwa sana
Hata hiyo mwendo kasi pia jela..Mazuzu nyinyi,pale kati Kuna njia ya mwendokasi
Nadhani ni rahisi kuufikiria kinachojengwa sasa na BRT kama mradi mmoja hata kama vitajengwa kwa kupishana kidogo. Ukiichukulia hivyo maana yake matokeo itakuwa ni njia sita, nne za sasa na mbili za BRT.1.) Unaposema haikuwa njia wakati iliwekwa lami na gari zilikuwa zinapita, tena hasa wakati wa Rush hour ilipunguza msongamano, nami nitakuuliza, njia maana yake ni nini?...
Mradi wa BRT assume ukajengwa miaka mi5 baadae baada ya kukamilika kwa BRT ya mbagala na BRT ya Karume, katika kipindi hiko cha miaka mi5 ni kwanini tusingendelea tu kufaidi flow kubwa ya magari ya njia 5?Nadhani ni rahisi kuufikiria kinachojengwa sasa na BRT kama mradi mmoja hata kama vitajengwa kwa kupishana kidogo. Ukiichukulia hivyo maana yake matokeo itakuwa ni njia sita, nne za sasa na mbili za BRT.
Ambacho ungetakiwa kulalamikia ni hizo njia tano unazozipenda maana hazikujengwa kwa kuangalia mpango wa muda mrefu, bali kwa ajili ya kupata umaarufu. Hizo ndio zimejengwa huku tukijua tutazivunja muda si mrefu. Hizi za sasa zitadumu muda mrefu.
PichaWakuu Kwema??
Mimi naishi Sinza (Makazi), na Shughuli zangu (Kazi) ni Posta. Mara zote hutumia njia hii ya kuanzia Sayansi mpaka Morocco napitiliza mpaka Posta. Njia hii toka inaanza kujengwa naiona, na mpaka sasa ilipofikia pia nimeiona. Na hata kabla haijajengwa hii mpya ya sasa still nilikua niitumia ile ya awali.
Hii barabara ilikua na njia nne, lakini sherehe fulani hivi za Uhuru nadhan kuna Mkuu mmoja akaamrisha iongezwe kua njia 5 na ikaongezwa. Sasa kuna kaujenzi kanafanyika pale sijui hata kanamaanisha nini. Kuta za fence zimevunjwa, parking zimeondolewa au kupunguzwa, Lami ya awali ikakwanguliwa ikawekwa ingine pamoja na kuweka vitofali lakini matokeo yake njia zimerudi kua nne.
Yaan baada ya Magazijuto yote hayo na gharama zote zilizotumika njia zimepunguzwa, nini sababu sasa hapa? Yaan gharama zote hizi zinazofanyika pamoja na kuwatia watu hasara ya kupunguza ukubwa wa parking zao lengo ndio kupunguza lanes kutoka 5 mpaka 4? Ili iweje?? Zile 5 za awali ambazo zilikua zinaacha parking za majengo ya watu salama zilikua zina shida gani?
Mwenye uelewa please msaada
Haijakamilika. Ikikamilika itakuwa na njia sita. Nne magari ya kawaida na mbili mwendokasi.Wakuu Kwema??
Mimi naishi Sinza (Makazi), na Shughuli zangu (Kazi) ni Posta. Mara zote hutumia njia hii ya kuanzia Sayansi mpaka Morocco napitiliza mpaka Posta. Njia hii toka inaanza kujengwa naiona, na mpaka sasa ilipofikia pia nimeiona. Na hata kabla haijajengwa hii mpya ya sasa still nilikua niitumia ile ya awali.
...
Kwa vile unatumia hiyo barabara kila siku kwenda mjini, mimi nakushauri siku ukiwa na nafasi shuka hapo barabara inapojengwa uwaulize hao wanaojenga (wasimamizi) watakupa ufafanuzi mzuri sana.Wakuu Kwema??
Mimi naishi Sinza (Makazi), na Shughuli zangu (Kazi) ni Posta. Mara zote hutumia njia hii ya kuanzia Sayansi mpaka Morocco napitiliza mpaka Posta. Njia hii toka inaanza kujengwa naiona, na mpaka sasa ilipofikia pia nimeiona. Na hata kabla haijajengwa hii mpya ya sasa still nilikua niitumia ile ya awali...