TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Kumbe mawazo yetu yamefanana aisee,Barabara ya Morocco-Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4
Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, **** ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo. Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu?!www.jamiiforums.com
Kwahiyo wakati wanajenga mwendokasi watafumuafumua tena njia walizojenga ili kama wanavyofanya Magomeni - Karume road?Haijakamilika. Ikikamilika itakuwa na njia sita. Nne magari ya kawaida na mbili mwendokasi.
Hivi kama kweli hiyo ndio sababu si ilibidi sasa wasubiri mpaka wakati wanataka Kujenga Mwendokasi ndio watupunguzie njia kutoka 5 hadi 4?? Kuna uharaka gani wa kutupunguzia njia sasa wakati Mwendokasi yenyewe haijengwi leo?Haijakamilika. Ikikamilika itakuwa na njia sita. Nne magari ya kawaida na mbili mwendokasi.
Hata mimi ndio nilichowauliza exactly, wakashindwa kujibu, uzi wangu ukabaki unaelea bila jibu hadi sasa tunavyoongea..Hivi kama kweli hiyo ndio sababu si ilibidi sasa wasubiri mpaka wakati wanataka Kujenga Mwendokasi ndio watupunguzie njia kutoka 5 hadi 4?? Kuna uharaka gani wa kutupunguzia njia sasa wakati Mwendokasi yenyewe haijengwi leo?
Yaani nini faida ya kupunguza njia sasa kutoka tano hadi nne kwa ajili ya mwendokasi itakayoanza kujengwa miaka mitatu au minne ijayo?
Kwa hakika. Na imeanza kuwa na mvuto hasa pale kituo cha Victoria inarembeshwa na majengo mazuri. Natamani hata ya Kimara hadi Kibaha ambayo ni kubwa zaidi kwani ni njia nane na ndio lango kuu la DAR, iwe na mvuto zaidi. Bahati mbaya hatupendi vitu vizuri na vyenye mvuto.Haijakamilika. Ikikamilika itakuwa na njia sita. Nne magari ya kawaida na mbili mwendokasi.
Hio njia ya tano ni Ile centre reservation? Ambayo haitakiwi kutumika?Hivi kama kweli hiyo ndio sababu si ilibidi sasa wasubiri mpaka wakati wanataka Kujenga Mwendokasi ndio watupunguzie njia kutoka 5 hadi 4?? Kuna uharaka gani wa kutupunguzia njia sasa wakati Mwendokasi yenyewe haijengwi leo?
Yaani nini faida ya kupunguza njia sasa kutoka tano hadi nne kwa ajili ya mwendokasi itakayoanza kujengwa miaka mitatu au minne ijayo?
Juzi niliona hapo katikati kabla ya taa za Morocco wamejaza kifusi pamekuwa juu, sijui wanataka pawe nini, ngoja kesho nipite nione kinachoendelea, barabara hii maajabu hayaishiNafasi ya hapo katikati zitatoka barabara mbili. Kuwa na subra utaona itakavyokua kazi ikiisha. Hii kazi hajapewa mtanzania kazi itakua nzuri.
Huyu mdau hajaelewa tu, hiyo barabara itakua na njia zaidi ya 5Nafasi ya hapo katikati zitatoka barabara mbili. Kuwa na subra utaona itakavyokua kazi ikiisha. Hii kazi hajapewa mtanzania kazi itakua nzuri.
Kuna rezvu ya mwendo kadi....katikatiBado ikija mwendokasi ya morocco to tegeta itavunjwa.
Hapo nimepita jana wakati naenda zangu Goba nikajiuliza hivyo hivyo,mwisho nikajiongeza pasi na shaka kwamba lazima itakuwa imewekwa kwa ajiri ya mwendokasi hapo katikati zinapokatiza gari za Makumbusho kuingia stand
Yaan kama Mwendokasi sio leo basi ingeachwa tu itumike nayo mpaka hapo watakapoanza kujenga Mwendokasi, otherwise basi hata hizi nne mpya za sasa zisingejengwa zikabaki zile zile tano za mwanzo mpaka hapo watakapoanza kujenga MwendokasiHio njia ya tano ni Ile centre reservation? Ambayo haitakiwi kutumika?
Victoria yenyewe tu peke yake kuna Traffic Light kama mara nne hivi wakati hapo awali ilikua ukitoka Traffic Light za Morocco unakuja kuzikuta zingine Sayansi Kisha Bamaga halafu Mwenge. Huku ni kupetezeana muda tuKwa hakika. Na imeanza kuwa na mvuto hasa pale kituo cha Victoria inarembeshwa na majengo mazuri. Natamani hata ya Kimara hadi Kibaha ambayo ni kubwa zaidi kwani ni njia nane na ndio lango kuu la DAR, iwe na mvuto zaidi. Bahati mbaya hatupendi vitu vizuri na vyenye mvuto.
Kwanini wasingeremba ile njia 5 iliyokuwepo awali?Kwa hakika. Na imeanza kuwa na mvuto hasa pale kituo cha Victoria inarembeshwa na majengo mazuri. Natamani hata ya Kimara hadi Kibaha ambayo ni kubwa zaidi kwani ni njia nane na ndio lango kuu la DAR, iwe na mvuto zaidi. Bahati mbaya hatupendi vitu vizuri na vyenye mvuto.
Haitakiwi kutumika halafu inawekwa lami ili wapite ng’ombe, exactly hiyoHio njia ya tano ni Ile centre reservation? Ambayo haitakiwi kutumika?
Ndipo wanapopata ulaji hapo, hakuna namnaJuzi niliona hapo katikati kabla ya taa za Morocco wamejaza kifusi pamekuwa juu, sijui wanataka pawe nini, ngoja kesho nipite nione kinachoendelea, barabara hii maajabu hayaishi
Baada ya miaka 5 - 10, wakati zilikuwa 5 tayari, years agoHuyu mdau hajaelewa tu, hiyo barabara itakua na njia zaidi ya 5
Hapana,siku hizi tumeondoa vihiyo kwenye safu ya viongozi watendaji.Bado ikija mwendokasi ya morocco to tegeta itavunjwa.