Aliyetoa maelekezo kafa kama unaweza kufanya ufufuo naomba ufanye hivyo then tujadili(waache wafu wazikwe na wafu wenzao)Wakuu Kwema??
Mimi naishi Sinza (Makazi), na Shughuli zangu (Kazi) ni Posta. Mara zote hutumia njia hii ya kuanzia Sayansi mpaka Morocco napitiliza mpaka Posta. Njia hii toka inaanza kujengwa naiona, na mpaka sasa ilipofikia pia nimeiona. Na hata kabla haijajengwa hii mpya ya sasa still nilikua niitumia ile ya awali...
Kama wamefanya hivyo ni njema maana hawa jamaa mipango yao huwa ya muda mfupi mfupi wa kuzima moto.Hapana,siku hizi tumeondoa vihiyo kwenye safu ya viongozi watendaji.
Si unaona barabara ya katikati ina mortar nene zaidi na imewekewa kingo za vitofali vigumu!!!maana yake ni BRT hiyo.
Hakuna nafasi ya kufanya madudu mepesi namna hiyo, utasakamwa mpaka na mkeo nyumbani.Kama wamefanya hivyo ni njema maana hawa jamaa mipango yao huwa ya muda mfupi mfupi wa kuzima moto.
Nafasi ya hapo katikati zitatoka barabara mbili. Kuwa na subra utaona itakavyokua kazi ikiisha. Hii kazi hajapewa mtanzania kazi itakua nzuri.
Mkuu ubora wa ile barabara unauonaje? Mm naona ata upana umeongezeka..na umezifanya barabara ziwe za one way..siyo zamani ambapo kulikua kunakupishana. So movement ya magari itakua kubwa na ajali pia zitapunguaSasa huo si utaahira? Angalia mwendokasi zote jinsi zinavyojengwa, ile njia ya mwendokasi inakengwa sambamba na barabara za pembeni ili kuzihuisha na miundombinu za vituo, maji ya mvua, zebra crossing nk....
Road ilikua na mashimo ya hatari..haikuwa mpya hiyo mzeeNdio na mimi nikuuliza, kulikuwa na haja gani ya kutumia matrillion ili kuounguza ufanisi wa barabara kutoka njia 5 hadi njia 4?! Yaani kabla ya ujenzi huu barabara ilikuwa na njia 5...
Point hapa ni kua why upunguze wingi wa Lanes leo kwa ajili ya maandalizi ya mwendokasi itakayokuja kujengwa next three years or even more?Umeziona zile service roads...pale katikati umeona nafasi iliyobaki?
Kwani lanes zimepungua?Point hapa ni kua why upunguze wingi wa Lanes leo kwa ajili ya maandalizi ya mwendokasi itakayokuja kujengwa next three years or even more?
Vijana muache uzushi na negativity Kwa taifa lenuNjia ya 5 ipo mifukoni mwa watu.
Mataahira mmekua wengi sanaSasa huo si utaahira? Angalia mwendokasi zote jinsi zinavyojengwa, ile njia ya mwendokasi inakengwa sambamba na barabara za pembeni ili kuzihuisha na miundombinu za vituo, maji ya mvua, zebra crossing nk; hivyo lazima hii itakuja kufukuliwa hata kama si yote; ona BRT ya sasa toka Magomeni hadi karume, lazima barabara ya pembeni ifumukiwe kuendana na BRT lanes.
Halafu kwanini upunguze efficiency ya barabara toka njia 5 hadi 4 kwa excuse ya BRT? Kwanini usisubiri hadi ujenzi wa BRT uanze ili ifanyike moja kwa moja? Hebu niambie, ule ujenzi umeachieve nini ambacho hakikuwepo mwanzo zaidi ya kupunguza achievement iliyofsnywa nyuma toka njia 5 hadi 4? Goal ya mradi ilikuwa kuleta foleni au?
Kwamba kupunguza njia toka 5 hadi 4, kazi yote na pesa yote ile ni ili kuweka lami service road na kuacha nafasi katikati kwa ajili ya ujenzi wa BRT miaka 5 - 10 ijayo?Umeziona zile service roads...pale katikati umeona nafasi iliyobaki?
Kwanini wasingeacha zile njia 5 ukizingatia zilikuwa bado mpya baada ya kukarabatiwa kwa pesa za Uhuru?, badala yake matrilioni yametumika na zimekuwa 4 kutoka 5?Mkuu ubora wa ile barabara unauonaje? Mm naona ata upana umeongezeka..na umezifanya barabara ziwe za one way..siyo zamani ambapo kulikua kunakupishana. So movement ya magari itakua kubwa na ajali pia zitapungua
Kwahiyo matrilioni yaliyotumika kupunguza njia toka 5 hadi 4 ni ili kuepuka kufanya periodic maintanance ya barabara kama inavyohitajika? Na hii ya sasa ikipata mashimo mtaivunja tena yote?Road ilikua na mashimo ya hatari..haikuwa mpya hiyo mzee
Kwahiyo njia za magari toka njia 5 hadi 4 we unaona hazijapungua? Na kwanini usisubiri hadi ujenzi wa BRT uanze ndio uvunje ila kwa wakati huu watu wangeendelea kufaidi flow ya njia 5 badala ya 4?Kwani lanes zimepungua?
Hapo kabla zilikuwa ni 2x2, with an extra 5th lane in between kama one way, ikifanya kazi ya ama kurudi au kwenda town muda wa asubuhi na jioni...
Sasa hivi imekuwa 2x2 for public cars, 1x1 for the upcoming Morocco <> Tegeta BRT, and extra walkway kwa waenda kwa miguu...
Hivyo kuna hizo extras ambazo hazikuwepo...
Kupata njia pana zaidi ya ilivyo sasa ina maana watu walio kando ya barabara wangebomolewa majengo yao zaidi ya walivyobomolewa
Kwanini upunguze njia toka 5 hadi 4 kwa mradi utakaokuja kujengwa miaka 5 hadi 10 baadae?Vijana muache uzushi na negativity Kwa taifa lenu
pale kuna middle lane ambayo haijafunguliwa
most likely itakua ya DART
sijui kwanini watu tunapenda kuropokwa
Utaahira ni kujibu hoja bila hojaMataahira mmekua wengi sana
Hiyo ndo maana halisi ya kulima lami mjini.HAHAHA!kuna jamaa mmoja alinambia mbona hizi barabara kila siku zinajengwa
Hawamalizi
Ova