Pre GE2025 Baraza Kuu la CHADEMA laidhinisha Wagombea wa Juu wa Uongozi wa Chama hicho, kwahiyo Kipute kiko pale pale

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu akimshinda mbowe ,nitatembea uchi kariakoo
Maana yake Tundu Lissu ashinde, kisha wewe upelekwe Kariakoo mbele za watu utembee uchi...

Looh, umeomba kitu kigumu sana. Lakini Mungu, humpa mtu sawa na aombacho yeye mwenyewe...

KWA HIYO: Mungu wa mbingu na nchi na akupe hicho ambacho midomo yako mwenyewe imeomba. Uaibishwe kwa kutembea uchi kwa Jina la Yesu Kristo. AmenπŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Wewe ndie uliokuja na taarifa watu wamekatwa !
 
1,500,000Γ—3 = 4,500,000 siyo haba chama kimepata mapato mengiiii

Maana

.Madhala ya Kulawitiwa ni makubwa SanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Linda Mwanao na hakikisha nyumba yake ina fesi imara kama simba dangoteee
 
Nimeamini Hakunaga cha maana zaidi ya kuwa KIONGOZI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Madhala ya Kulawitiwa ni makubwa Sana llinatakiwa kupigwa Kitamaduni na kisayansiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Linda Mwanao na hakikisha nyumba yake ina fesi imara kama simba dangoteee

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…