Pre GE2025 Baraza Kuu la CHADEMA laidhinisha Wagombea wa Juu wa Uongozi wa Chama hicho, kwahiyo Kipute kiko pale pale

Pre GE2025 Baraza Kuu la CHADEMA laidhinisha Wagombea wa Juu wa Uongozi wa Chama hicho, kwahiyo Kipute kiko pale pale

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu akimshinda mbowe ,nitatembea uchi kariakoo
Maana yake Tundu Lissu ashinde, kisha wewe upelekwe Kariakoo mbele za watu utembee uchi...

Looh, umeomba kitu kigumu sana. Lakini Mungu, humpa mtu sawa na aombacho yeye mwenyewe...

KWA HIYO: Mungu wa mbingu na nchi na akupe hicho ambacho midomo yako mwenyewe imeomba. Uaibishwe kwa kutembea uchi kwa Jina la Yesu Kristo. Amen🙏🏻🙏🏻
 
Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi.

La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho.

Taarifa yao hii hapa

View attachment 3207582

Usiondoke JF kwa Taarifa za uhakika za Vikao hivi, Hii ni kwa sababu Mimi Mtumishi wako Mwaminifu niko ndani ya Ukumbi.
Wewe ndie uliokuja na taarifa watu wamekatwa !
 
1,500,000×3 = 4,500,000 siyo haba chama kimepata mapato mengiiii

Maana

.Madhala ya Kulawitiwa ni makubwa Sana😂😂😂😂 Linda Mwanao na hakikisha nyumba yake ina fesi imara kama simba dangoteee
 
Nimeamini Hakunaga cha maana zaidi ya kuwa KIONGOZI 😂😂😂😂😂

Madhala ya Kulawitiwa ni makubwa Sana llinatakiwa kupigwa Kitamaduni na kisayansi😂😂😂😂 Linda Mwanao na hakikisha nyumba yake ina fesi imara kama simba dangoteee

IMG20240406142826.jpg
 
Back
Top Bottom