Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Ngoja tumtafuteYule kijana anaitwa GARATWA Francis mgombea nafasi ya umakamu kaishia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tumtafuteYule kijana anaitwa GARATWA Francis mgombea nafasi ya umakamu kaishia wapi?
Maana yake Tundu Lissu ashinde, kisha wewe upelekwe Kariakoo mbele za watu utembee uchi...Lisu akimshinda mbowe ,nitatembea uchi kariakoo
Wewe ndie uliokuja na taarifa watu wamekatwa !Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi.
La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho.
Taarifa yao hii hapa
View attachment 3207582
Usiondoke JF kwa Taarifa za uhakika za Vikao hivi, Hii ni kwa sababu Mimi Mtumishi wako Mwaminifu niko ndani ya Ukumbi.
Wafanikiwe vigingi sasa vyakuingia ukumbiniTAL kashashinda namba hazidanganyi mwenyekiti mbeya wajumbe wamemkataa,Tanga walimkataa,Dodoma wamemkataa,Tabora wamemkataa FAM kapigwa changa la macho.
Kazi sio ndogo na labda Erythrocyte awasaidieWafanikiwe vigingi sasa vyakuingia ukumbini
Yaani chadema ya mbowe haina tofauti na tume za uchaguzi za ccm.Hivi waliokatwa wako wangapi?
Mkuu usijebadili ID.Lisu akimshinda mbowe ,nitatembea uchi kariakoo
Hakuna hata glasi itakayovunjwa achilia mbali kupigana.Kesho zitapigwa na uchaguzi utavurugika .....
Ova
Daaaah....hizi tabia dunia ya sasa haijakubaliana nazo na ni kinyume na maadili na imani za dini. Mnataka nanyi mtambulike?Lisu akimshinda mbowe ,nitatembea uchi kariakoo
Hiden ajenda???? Hatari sana. Ungetumia tu kiswahili.Hakuna hata glasi itakayovunjwa achilia mbali kupigana.
Nchi haiwezi kuruhusu vichaa na wahuni kupewa platform ya kutimiza hiden ajenda zao kwa cover ya Chadema.