Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

Hili taifa hili.Nn kimetukumba?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
We nawe umetokea wapi?!
Unasema ana mamlaka ya kufanya alichofanya?!
Utakuwa the least of all hypocrites kufikiria makamu mkuu wa chuo huria Tanzania hana mamlaka hayo.
........yule kazi yake ni administer chuoni ......but yuko chin ya wizara so ...amevuka madaraka yake
 
Ujinga mzigo sana, una uhakika alikuwa hana mamlaka ya kutahadharisha taasisi anayoiongoza juu ya ugonjwa mnaoficha kwapani?
.,...kutahadharisha sio kosa.......kosa n kuhairisha masomo kwa njia ya kawaida .....wakat wizara haijaagiza kufanya ivo
 
Taifa la hovyo sana ukisema ukweli unaonekana ni adui, hao wote wanajipendekeza kwa dikteta, bora huu ugonjwa uwapige wao wenyewe.
 
Hapa ndo pazuri, Je, Prof atasimamia ukweli au atalamba miguu wanasiasa huku awe anashuhudia watu wakizidi kupukutika.
 
YEHUDI - Mwenyekiti
Talst
KaweAlum
Mtu Mwenye Njaa Sana Mayala
MgonjwaMtafiti
JingaJinga
MudasiWote
YohanaBabusit
 
Na Sua je?
Na Udsm je?
Maana hawa nao walishatoa tahadhari. Au wao hawako chini ya wizara?
.........mkuu kutoa tahadhari sio kosa .....hata rais magufuri anatoa tahadhari........kosa n kuwa ..huyu professor ka cancel normal sessions za chuo.....kuw student waji caranteen ...watumie online studying .....kitu ambacho .....hakipo ndan ya madaraka yke .......NI SAWA NA .....PRIVATE WA JESHI .....KUTANGAZA HALI YA KIVITA NCHIN
 

Aisee huyu prof akiomba radhi itabidi tuichunguze elimu yake
 
Hapa ndo pazuri, Je, Prof atasimamia ukweli au atalamba miguu wanasiasa huku awe anashuhudia watu wakizidi kupukutika.
Kama alishajitoa mhanga kwa kusema ukweli sidhani Kama ataweza kupiga U turn
 
Huku sasa ni kujipendekeza kuliko pitiliza. Anaestahili kuombwa radhi ni huyo Profesa kwa kudhalilishwa na wizara.

Amandla...
Kuna watu walidukuliwa simu zao, halafu wakatakiwa waombe radhi.

Tanzania mambo yanaenda kinyumenyume.

Anayejamba ndiye anataka umuombe msamaha kwa ushuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…