Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,922
- 3,252
Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akitoa mwelekeo wa haki za binadamu duniani katika kikao cha 61 cha HRC Geneva Uswisi leo Febrauari 27, 2026, Turk amezitaja baadhi ya nchi za Afrika zilizofanya uchaguzi mwaka 2025 na 2026, ikiwamo Cameroun na Uganda akisema zilitumia nguvu kubwa kudhibiti wapinzani.
“Katika hali ya kutia matumaini Tanzania imeanzisha tume ya kitaifa ya kuchunguza uvunjifu wa haki za binadamu uliofanyika katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025,” amesema.