Baraza la Maaskofu TEC linapobariki pesa chafu za CCM

huna unachojua,zaidi ya kupayuka tu,una data gani wewe? una weledi upi wewe? zaidi ya kuongelea ubora wa makalio
Bado tembea kwenye mada husika,kutojibia mada ipasavyo ni kuonesha hujui chochote, BWABWA wewe
 
Absolutely, thanks for positive response πŸ™
 
Lengo la pesa hizi ni ku brain 🧠 wash Viongozi, na waumini, ni compromat,ili munyamaze kimyaa, msikemee matendo bya kishenzi ya Serikali ya CCM.
Mkuu 'Nandagala', umeandika andiko refu sana bila sababu.
Umekiri mwenyewe kuwa haijulikani kama pesa zinazo tolewa kama njugu zimeombwa, au zimetolewa tu ili kununua kitu toka kwa hao walio pewa.
Nadhani kwanza unge jiridhisha kuwa pesa hiyo tayari imewageuza walio hongwa mtazamo walio kuwa nao kabla ya kuhongwa.
Wewe ulitegemea nini kifanyike. Hizo pesa walizo pewa bila ya kuombwa zirudishwe kwa mbwembwe na kelele nyingi kuonyesha kuwa zimekataliwa?
Ni sababu zipi hasa zinazo kufanya wewe uamini kwamba hao maaskofu kwa kupewa pesa hizo sasa ndio watakao kuwa mstari wa mbele kuwapigia kampeni hao walio zitoa pesa; au hata hao maaskofu wenyewe kwamba watawapigia kura hao walio wazawadia pesa.

Lakini, pamoja na kutofautiana nawe kwa uharaka wako wa kuhitimisha na kulaumu, nami pia naungana na wewe kwamba itakapo fika wakati mwafaka; kanisa (viongozi) ni lazima walizungumzie hili swala la pesa zinazopelekwa huko. Ni lazima wawe wawazi na kueleza msimamo wao kuhusu lengo la pesa hizo hasa wakati huu tukielekea kwenye chaguzi
Huo utakuwa ni msimamo wa kijumla toka kwenye kanisa usio athiri uamzi wa mtu binafsi, bila kujali ngazi yake ndani ya kanisa hilo. Kama huyo askofu wa Mwanza, yeye kweli kanogewa na yanayo fanywa na CCM ya Samia; hiyo ni halali yake, na hana wajibu wa kufanya msimamo wake huo uwe ndio msimamo wa kanisa lote.
 
Aksante sana kwa mchango, umejibu vizuri sana, pesa ni pesa, rejea vipande 30 vya Yuda na alochofanyiwa Yesu kwenye Biblia.

Kuhusu andiko kuwa refu ni description tu ya mada.Nashukuru umesoma lote, nakushkuru nawe kwa kujibu kwa kutumia andiko refu πŸ˜€ shukrani sana.
 
EEEEeeeeenHEEEEEEEEeeeee!

Wewe kiumbe huishi vitimbi kweli. Yaani nimecheka mpaka machozi yakanitiririka.

Yaani CCM wamefika hadi Roma; wakaenda kutoa RUSHWA hadi kwa mrithi wa Peter!!!!!

EEeeennHEEEE!! Hii CCM itakuwa ni kiboko kweli!

Haya basi, sasa tuseme, hawa maaskofu hapa kwetu wanao pokea hivi visenti vya Samia wamepewa ruhusa na mkuu wao huko juu; na yeye bila shaka, baada ya sara za kuua mtu, kaonyeshwa njia na alio warithi, kwamba CCM haizuiliki. Chukua hiyo pesa haraka. Potelea mbali na hayo mahayawani; majinga ya waTanganyika.
 
Hapana. Usinilishe maneno ambayo mimi sijayasema kwenye mstari wako huo wa juu.
Zaidi ya yoye, unatolea mfano uliopo nje kabisa ya 'context', sasa sijui nikueleweje wewe, mbali ya kuendelea kudhihirisha mashaka yangu juu ya nia hasa ya mada yako hii.
 
Penye fedha ni kawaida watu kujizima data
 
Rubbish, mbn wakati wa Magu mlisafirisha pesa kwa magunia kupitia benki yenu ya mkombozi. RC ni wanafki sana.
We ni MJINGA kabisa, mbona katika andiko hili nimezungumzia Mkombozi Benki,
Inaonekana hujui unachokijibia wala msingi wa mada!?
 
Rubbish, mbn wakati wa Magu mlisafirisha pesa kwa magunia kupitia benki yenu ya mkombozi. RC ni wanafki sana.
Rubbish is that your hiding in you trouser πŸ˜€πŸ€£πŸ€£
 
Wewe unaamini Kanisa Moja Takatifu la Mitume linaweza kusaidiwa kujenga Jengo la kuabudia?

Wale ndio waliasisi Bakwata πŸ˜€πŸ˜€
 
We poyoyo
We poyoyo umeandika upupu, kinachokusumbua udini kwasababu Rais ni muislam. Hutafanikiwa kwa lolote we nyau
Wewe bni mjinga kabisa,yaani watu waache kukemea vitu kwa msingi wa dini, kwahiyo Rais akiwa mwislamu, so what??πŸ€”πŸ˜€πŸ˜€
Narrow minded person, akili za KUVUKIA BARABARA ni shida sana
 
Kwahiyo pesa za wazungu ndio safi?
 
Wewe unaamini Kanisa Moja Takatifu la Mitume linaweza kusaidiwa kujenga Jengo la kuabudia?

Wale ndio waliasisi Bakwata πŸ˜€πŸ˜€
Kama Serikali pamoja rasilimali zote, madini misitu, Bado inafadhiliwa ,inaomba misaada, sembuse kanisa? Au taasisi ya dini??

Wewe nyumbani kwako au Mamako au ndugu zako vijijini mmejitosheleza kila kitu??

Ficha ujinga wako πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…