Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jambo linaniuma moyo kama bishop residence ya jimbo la Morogoro ilivyo! Tembelea makazi ya maaskofu wote katoliki Tanzania hakuna yanayofanana na Jimbo la Morogoro "a den of robbers". Makazi yamezungukwa na vilabu vya pombe na vioski vya chipsi!!!!Aksante sana ndugu katika imani,umeachangia Uzi kwa weledi bila mihemko kama wanavyofanya wengine.
Kuhusu Morogoro Mhashamu Askofu Lazarus Msimbe SDS, akiwa Bado msimamozi wa Jimbo mara baada ya kupewa hiyo nafasi alishauriwa afanye mabadiliko bila kuchelewa ya ofisi ya mhasibu wa jimbo.
Lakini kama ujuavyo Mhashamu Msimbe ni laizer affair, sio mtu wa caliber ya u aggressive kama alivyo Askofu Dalu, ni Mtu wa kuangalia watu usoni.
Nafasi hiyo mpaka anakuwa Askofu kuteuliwa Mwasibu wa jimbo alitumia vibaya, na huku msimbe akijiona mpita njia, maana ukipewa kuwa Administrator wa jimbo sio lazima baadae uje kuwa Askofu.
Kuhamaki Vatican ikamtangaza, najua sasa atakuwa anajilaumu kwa kosa la kutochukua hatua Toka akiwa administrator wa Jimbo.
Hiyo ni aina ya Msimbe hata alipokuwa mlezi wa wanovisi SDS Nakapanya, na Provincial Wanachama wa SDS walimfurahia kama Baba Mwema hakuwa mkali sana.
Nirudi kwenye mada kuu, kama wakristu wakatoliki lazima tuseme kweli kwa ajili ya kanisa Katoliki, kuhusu miamala hii katika kipindi hiki Cha uchaguzi.
Aksante sana.
Ukisoma vizuri utaona tunavyotofautiana mitazamo katika hili jambo. Nandagala One anadhani kanisa kupokea fedha toka CCM ni najisi ila likipokea toka Chadema ni sunna. Mimi nasema Kanisa linapokea michango ya kila mtu awe msafi au mchafu. Afterall kanisa lipokusaidia watenda dhambi. Kama wewe ni msafi huhitaji msaada wa kanisa.Nilikuchanganya na huyo mwenzio, kwa kuwa akili zenu zinafanana.
Duh!Ukisoma vizuri utaona tunavyotofautiana mitazamo katika hili jambo. Nandagala One anadhani kanisa kupokea fedha toka CCM ni najisi ila likipokea toka Chadema ni sunna. Mimi nasema Kanisa linapokea michango ya kila mtu awe msafi au mchafu. Afterall kanisa lipokusaidia watenda dhambi. Kama wewe ni msafi huhitaji msaada wa kanisa.
Ambao wakitenda dhambi zao na kuleta michango yao kanisani inakuwa "vipaji"? Mantiki ya ajabu sana hii.Afterall kanisa lipokusaidia watenda dhambi
Taasisi za kutetea USHOGA, ndoa za jinsia moja wakitoa pesa zipokelewe na kanisa???Ukisoma vizuri utaona tunavyotofautiana mitazamo katika hili jambo. Nandagala One anadhani kanisa kupokea fedha toka CCM ni najisi ila likipokea toka Chadema ni sunna. Mimi nasema Kanisa linapokea michango ya kila mtu awe msafi au mchafu. Afterall kanisa lipokusaidia watenda dhambi. Kama wewe ni msafi huhitaji msaada wa kanisa.
Hakuna kuhama, niamie wanakouza udongo wakati udongo umejaa??Penye udhia penyeza rupia. Kwisha habari Yao. Huwezi kataa pesa chafu ukiwa mchafu. Kidogo kidogo tusaidiane katika maisha. Sio mpango wa Mungu kuwa na taasisisi zenye nguvu ie. Mungu anapoona viongozi wanajijengea minara na sanamu hulipasua kanisa lake na kutengeneza madogomadogo na lile mama kuliacha lijifie au lijiimalishe kupitia Toba. Sasa. RC ni serikali kamili inayoweza hata poteza anayejaribu kuligawa ndio maana Mungu ataliaibisha kupitia kupenda fedha za aibu kama hivi.
Kikubwa na kuhama tu na kuukubali mpango wa Mungu wa wokovu ili ulitumikie kusudi aliloweka Mungu ndani Yako kikamilifu kuliko kuendelea kuvunjwa moyo na Watu waliojichongea sanamu.
Mkuu wanafahamiana hao wala usiumize kichwa hyo yote ni sytem 1 in one hand and different in one another!MOja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na zoezi la serikali kutoa pesa kuchangia makanisa.
Makanisa mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume, ambalo makanisa yake yamepokea pesa za serikali ya CCM.
Nataka kuchukua mfano
Jimbo la Zanzibar hasa ambalo limepokea fedha toka Serikali ya Zanzibar kwa ajili ya ukarabati wa kanisa kiasi Cha milioni 200.
haijulikani kama wao Jimbo Mhashamu Agustino Shao wa Holly Ghost Father's aliomba, au wao serikali waliombwa wachangie, au sijui serikali ilijuaje kama Kuna uhitaji.
Ni aibu nijuavyo hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu kupokea fedha toka wanasiasa.
Siamini kwamba Jimbo la Zanzibar halina namna ya kupata fedha kukarabati kanisa.
Nijuavyo Project manager wa jimbo au administrator anao uwezo kwa ruhusa ya Askofu kuandika project Ulaya ikajibu, namfahamu padre mmoja wa Jimbo la Zanzibar aliyekaa sana Ulaya Marekani , Siamini Padre Damas Mfoe wa jimbo la Zanzibar angalishindwa ,kama angaliombwa kuandika, badala yake Jimbo limepokea fedha za mwanasiasa Dr Hussein Mwinyi.
Baadhi ya majimbo hasa ya Kusini maparoko na wamama wakuu wa mashirika ya kitawa wanao uwezo wa kuandika project za shule ya chekechea, miradi ya akina mama, vituo vya watoto yatima zikajibu.
Ilikuwaje Askofu bwa Zanzibar apokee pesa Toka kwa mwanasiasa???
Pili Zanzibar kama eneo la utalii, kila kitu kilichoko Zanzibar ni utalii, makanisa na historia ya ukristu kwa wamisionari wa Holly Ghost Father's na wamisionari Wa Benedictine waliingia kwanza Zanzibar.
kwa mantiki hiyo ukarabati wa kanisa hata ingeandikiwa UNESCO wangejibu na kupata fundus fund kuliko pesa za wanasiasa wenye hila na mikono yenye dalili za damu na ambao kuingia Kwao madarakani Kuna shaka.
Mfano wa pili matibabu ya operesheni ya Askofu mkuu wa Jimbo kuu DSM Jude Thaddeus Ruwaich Ofm Cap yalifadhiliwa na Hayati Magufuli,haikuwa sahihi hata kidogo Jimbo kuu DSM Lina mapato ya kutosha Toka vyanzo mbalimbali, mfano mzuri Tegemeza Jimbo sio chini ya billion 1.5 kwa mwaka achilia vyanzo vingine.
Ilikuwaje mkubali serikali iingilie kati matibabu??
Wakati wa aliyekuwa Askofu msaidizi Kilaini Methodius naye alilipiwa matibabu India na JK.
Tumeona pia Arusha zaidi ya milioni 500 Jimbo katoliki Arusha limepokea bila kujali mazingira ya jambo husika.
Mlipata wapi ujasiri wa kukemea kwa njia ya waraka juu ya mkataba hovyo wa DP 🌍 Word kupewa Bandari zetu za BARA na Leo mmekuwa majasiri wa kupokea pesa Toka hao hao waliouza Bandari zetu mkitumia msemo
"I HATE PORK,BUT I LIKE IT'S SOUP"
Nielekee kuhitimisha, pesa hizi zinazoanza kusambazwa kwa njia ya hisani, kuchangia vitu,zina viashiria vyote ni pesa chafu, ya rushwa kwa Kanisa katoliki na Viongozi wa Kanisa.
Lengo la pesa hizi ni ku brain 🧠 wash Viongozi, na waumini, ni compromat,ili munyamaze kimyaa, msikemee matendo bya kishenzi ya Serikali ya CCM.
Week chache zilizopita Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Mwanza amenukuliwa ametoa maneno ya wazi yenye dalili za UCHAWA ndani yake kuhusu Serikali ya chama kuwa,
" Kama huoni maendeleo yaliyoletwa muulize mamako"
Sijui kauli hiyo ilikuwa yake au ni out of his emotional?? Haijulikani, haikumbukwi mahali popote pale ambapo aljaribu kuongelea rushwa, utekaji wa watu na kuuwawa kwa watu na utawala bora kiujumla.
Ninapoandika haya najua wazi kuwa muundo wa kanisa Katoliki kila Askofu Local ordinary wa Jimbo ana mamlaka yake ya kutoingiliwa na Jimbo lingine.
Lakini katika Hali tuliyonayo kama Taifa Maaskofu wakae waangalie kwa Tahadhari namna ya kukaa mbali na pesa chafu zinazomwagwa kama njugu, na ambazo vyanzo vyake havijulikani, yaani zimetika katika bajeti ipi??
Sekeseke la pesa za ESCROW Maaskofu kadhaa walikuwa wanufaika Tena pesa zao ziliingizwa katika personal account, na transaction nyingi zilifanyika kupitia Benki ya Kanisa katoliki Mkombozi Bank, hatukujifunza kupitia kosa hilo???
Rai kwa Baraza la Maaskofu TEC mintarafu Mhashamu Askofu Wolfgang Pissa OFM Cap wa Jimbo katoliki, tafuta namna ya ku address hizi pesa zinazoingia kwenye majimbo, parokia Toka wanasiasa hasa wakati huu tunakoelekea uchaguzi mkuu ili Kanisa Katoliki lisichafuke kwa hizi pesa chafu.
"Roma Locuta Causa Finita "
Niwatakie siku njema.
Zaburi Na watakatifu walio duniani,Watukufu, ndio ninaopendezwa nao sana.”Hakuna kuhama, niamie wanakouza udongo wakati udongo umejaa??
Nihamie wanakolia bila kupigwa??
Niamie watu wanakolia baada bya kuchokozwa hisia na mchungaji?
Halafu baadae mchungaji aniombe nichangiea huduma ya kulia kwa ajili ya kuniliza kwa uchokozi wa kucheza na hisia zangu??
Nabaki mkatoliki kukiwa na mambo hovyo nayasemea.
Hakuna wokovu duniani ukiwa hai.
Zaburi Na watakatifu walio duniani,Watukufu, ndio ninaopendezwa nao sana.”
, Warumi 10:9Kwa maana ukitangaza waziwazi kwa kinywa chako kwamba Yesu ni Bwana, na kuwa na imani moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokolewa. 10 Kwa sababu kwa moyo mtu huwa na imani ili apate uadilifu, lakini kwa kinywa mtu hufanya tangazo la hadharani ili apate wokovu.
Maandiko yapo mengi yanayothibitisha kuokoka.
Warumi 8:15Warumi 8:15
[15]Kwa kuwa hamkupokea tena roho wa utumwa iletayo hofu; bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, Aba, yaani, Baba.
For ye have not received the spirit of bondage again to fear; but ye have received the Spirit of adoption, whereby we cry, Abba, Father.
Warumi 8:6wana.6Sasa kwa sababu ninyi ni wana, Mungu ametuma roho ya Mwana wake ndani ya mioyo yetu, nayo hupaza sauti: “Abba, Baba!”.
Anayelia ndani ya Waiomwamini Yesu sio wao Bali ni Roho Mt ndani Yao.
Hata hivyo, ninyi hampatani na mwili, bali mnapatana na roho, ikiwa kweli roho ya Mungu inakaa ndani yenu. Lakini ikiwa mtu yeyote hana roho ya Kristo, mtu huyo si wake.
Kama huna Roho Mt wewe sio WA Mungu katu. ROHO Mt ndiye muombezi. Rejea Warumi 8:26,27Warumi 8:15,26
[15]Kwa kuwa hamkupokea tena roho wa utumwa iletayo hofu; bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, Aba, yaani, Baba.
For ye have not received the spirit of bondage again to fear; but ye have received the Spirit of adoption, whereby we cry, Abba, Father.
[26]Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.
Likewise the Spirit also helpeth our infirmities: for we know not what we should pray for as we ought: but the Spirit itself maketh intercession for us with groanings which cannot be utteWarumi 8:15,26-27
[15]Kwa kuwa hamkupokea tena roho wa utumwa iletayo hofu; bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, Aba, yaani, Baba.
For ye have not received the spirit of bondage again to fear; but ye have received the Spirit of adoption, whereby we cry, Abba, Father.
[26]Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.
Likewise the Spirit also helpeth our infirmities: for we know not what we should pray for as we ought: but the Spirit itself maketh intercession for us with groanings which cannot be uttered.
[27]Na yeye aichunguzaye mioyo aijua nia ya Roho ilivyo, kwa kuwa huwaombea watakatifu kama apendavyo Mungu.
And he that searcheth the hearts knoweth what is the mind of the Spirit, because he maketh intercession for the saints according to the will of God.red.
ROHO Mt hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa. Akiwa ndani Yako ni sawa na mlevi pombe ikiwa ndani itamwongoza kwenye mambo kadha WA kadha kama kupiga yowe, kuguna guna, na hata kulia pia. Akifanya haya Nini Watu watesema?. Pombe hizo maana wanajua madhara ya pombe hivyo hivyo kwakuwa Watu hawamjui Roho Mt wanashangaa waliookoka wakilia wasijue Nini sababu. Sababu ni hizo hapo juu kimaandiko kitu ambacho huwezisikia padri akifanya maana hana Roho Mt Wala mroma akifanya maana hamna Roho Mt nyie. Karibu uokoke nami nilikuwa Mroma mzuri sana ila Kristo aliniangazia Nuru yake. Achana na Hawa manabii wachawi Akina Mwampusa tafuta kanisa dogo lenye mchungaji ingia humo utabarikiwa. Amen.
Bado hujasema, wakati bwa waraka wa DP World 🌎 mbona waliandika na upande wa serikali wakachukia tamko la TEC.Mkuu wanafahamiana hao wala usiumize kichwa hyo yote ni sytem 1 in one hand and different in one another!
Pindi USIKIAPO sauti ya Bwana Mungu wako usiufanye mgumu moyo WAKO.Unatwanga maji, ubatizo mmoja wa kanisa Katoliki Takatifu la mitume unanitosha, hiyo ndiyo imani yangu ya muungano nwa KiMungu kupitia ukatoliki siyo vinginevyo.
Naomba rudi kwenye mada kuu ya huu uzi.
Nipo Kanisa katoliki, nilibatizwa huko na nitafia imani hiyo.AmenPindi USIKIAPO sauti ya Bwana Mungu wako usiufanye mgumu moyo WAKO.
Utakuwa una shida kichwani mwako nmominni aina ya watu wanaosimamia nachoamini, ni makatoliki,nitabaki mkatoliki, katafute waumini wapya kutoka watu ambao Bado hawajui kitu Cha kusimamia.Pindi USIKIAPO sauti ya Bwana Mungu wako usiufanye mgumu moyo WAKO.
Karibu Rombo green view nakunywa pombe,karibu tunywe Pombe kiongozi!!Pindi USIKIAPO sauti ya Bwana Mungu wako usiufanye mgumu moyo WAKO.
Waefeso 5:17 Kwa hiyo acheni kuwa watu wasio na akili, bali endeleeni kuyafahamu mapenzi ya Yehova. 18 Pia, msilewe divai, ambayo ina upotovu, bali endeleeni kujazwa roho.Karibu Rombo green view nakunywa pombe,karibu tunywe Pombe kiongozi!!
Wewe utakuwa MPAGANI huna dini.Tuna ujenzi wa kanisa,tumeomba mchango wa ujenzi Kwa watu mbalimbali wa wanasiasa, wafanya biashara so kutoa ni hiari na ukitoa usitupangie namna ya kufikiri na kutoa mtazamo wetu