Baraza la Maaskofu TEC linapobariki pesa chafu za CCM

Baraza la Maaskofu TEC linapobariki pesa chafu za CCM

Wewe unaamini Kanisa Moja Takatifu la Mitume linaweza kusaidiwa kujenga Jengo la kuabudia?

Wale ndio waliasisi Bakwata 😀😀
Hapana, na Hapana tena.

Wale "siyo waasisi wa BAKWATA." Tusiwe watu wa kupotosha tu kwa maksudi ya kufurahisha wasomaji. Hii ndiyo elimu inayo patikana pale chuo kikuu cha Kariakoo. Sijui kama na wewe ni muhitimu wa chuo hicho.

Swali linalo hitaji jibu ni nani kaomba/kaombwa msaada. Huyo anaye toa pesa kwa wingi, au yule anayepewa pesa bila ya kuomba apewe msaada.
 
Hapana, na Hapana tena.

Wale "siyo waasisi wa BAKWATA." Tusiwe watu wa kupotosha tu kwa maksudi ya kufurahisha wasomaji.

Swali linalo hitaji jibu ni nani kaomba/kaombwa msaada. Huyo anaye toa pesa kwa wingi, au yule anayepewa pesa bila ya kuomba apewe msaada.
Ile ni Sadaka ya Serikali Kwa Kanisa na imekuwa ikitolewa miaka yote

Sema tu Rais anapokuwa Muislamu Nido inaonekana nongwa

Sadaka Siyo Mchango wala Msaada, Sadaka ni Sadaka 😀
 
Ruzuku wanayopokea wapinzani pia ni pesa chafu?
Hiyo ruzuku mnaongelea sana wanayopewa wapinzani lakini si haki yao kikatiba baada ya kufikisha kanuni fulani, je katiba imesema makanisa yapewe pesa kama haijasema basi hiyo ni rushwa
 
Hapana, na Hapana tena.

Wale "siyo waasisi wa BAKWATA." Tusiwe watu wa kupotosha tu kwa maksudi ya kufurahisha wasomaji. Hii ndiyo elimu inayo patikana pale chuo kikuu cha Kariakoo. Sijui kama na wewe ni muhitimu wa chuo hicho.

Swali linalo hitaji jibu ni nani kaomba/kaombwa msaada. Huyo anaye toa pesa kwa wingi, au yule anayepewa pesa bila ya kuomba apewe msaada.
Unajua maana ya vipaji wewe?
 
Ile ni Sadaka ya Serikali Kwa Kanisa na imekuwa ikitolewa miaka yote

Sema tu Rais anapokuwa Muislamu Nido inaonekana nongwa

Sadaka Siyo Mchango wala Msaada, Sadaka ni Sadaka 😀
Hizi kona kona nyingi ni kukosa mwelekeo. Sasa tena imekuwa "sadaka"!
Kwa hiyo zile hospitali zinapo tumiwa na waTanzania wote, ile pesa ya serikali ni "sadaka"? Na kwa nini safari hii hizi "sadaka" zielekezwe kwenye ujenzi wa nyumba za ibada, au hata kwa viongozi binafsi, kama zile alizo pewa Ruaichi!
 
Unajua maana ya vipaji wewe?
Hapana.
Natamani ningekuwa na akili ya kujitosheleza kama uliyo nayo wewe, ili niweze kujuwa unayo yajuwa wewe.
Matumaini yangu ni kuwa utanielewa vizuri kwa jibu langu hili kwako.
 
Hapana.
Natamani ningekuwa na akili ya kujitosheleza kama uliyo nayo wewe, ili niweze kujuwa unayo yajuwa wewe.
Matumaini yangu ni kuwa utanielewa vizuri kwa jibu langu hili kwako.
Kanisa ni kati ya taasisi ambazo zinaendeshwa na michango ya watu. Kila mtu mwenye nacho hupokelewa kanisani kwa mikono miwili. Umesahau-toa ndugu, toa ndugu, ulichonacho wewe, bwana anakuona hata rohoni mwako…

Acheni uchadema na uccm mbali. Pahala ambapo RC inabagua ni wakati wa kukomnika tu.
 
Hapana.
Natamani ningekuwa na akili ya kujitosheleza kama uliyo nayo wewe, ili niweze kujuwa unayo yajuwa wewe.
Matumaini yangu ni kuwa utanielewa vizuri kwa jibu langu hili kwako.
Kumbe hujui neno vipaji? Siyo akili ni michango kwa kanisa katoliki
 
Jaribu kupu

bado hujajibu hoja yangu. Je, katika kanisa hakuna harambee au watu kuchangia shughuli za kanisa? Sema umeingiza siasa katika andiko lako. Kuna ubaya gani hata chama kutoa Mchango? Unajua kanisa linaendeshwa na michango? Au kwa vile imetoka kwa Rais. Hoja yako ni mufilisi. Hata Vatican inachangiwa na watu ambao siyo wakatoliki ujue.

Au nongwa kwa vile imechangwa na Rais? Si anataka wamuombee ili ashinde uchaguzi! Unaijua catholic context wewe au kwa vile unajua kutumia keyboard
Wewe ndio una politicize mada, Uzi wangu upo na unajieleza wazi, sielewi siasa hapo ipo wapi?? ni phrase ipi?? in which context??

Kuandika project ni Mojawapo, kuandaa harambee inakubalika!!!

Ila fuatilia muktadha wa 200 million,ilikuwa harambee???

Mkuu acha mihemko ya kuona kila andiko ni siasa.

Read between the lines!! Understand beyond the visible meaning.
Kama unaona madam kwako ni ngumu umeshindwa ku digest achana nayo, usijilazimishe kujadili jambo linalozidi upeo wako Mdogo wa kuelewa.
 
Acha kuongopea watu. Hata huko wanapotuma proposal zao ni michango ya watu kama Samia na wengine. Kanisa linaendeshwa kwa michango ya watu. Mtu yeyote akitoa, kanisa linapokea tu. Na mara nyingi hizi hela hutoka katika mikono michafu
 
Kifupi huwezi kunitoa kwenye mada yangu ya msingi, huna jipya unaloliongea, umeshindwa kijibu hoja!!!
 
Bado hujajibu chochote kati ya mada nilizoandika.
Completely you are Out of context,out of proportional

Naandika ukweli sio chuki, kanisa langu Katoliki linaenda siko over.
Unaona ni bora kutembeza bakuli ulaya kuliko hapahapa nchini
 
Kifupi huwezi kunitoa kwenye mada yangu ya msingi, huna jipya unaloliongea, umeshindwa kijibu hoja!!!
Kitu unachotakiwa kuelewa ni kuwa kanisa ni taasisi iliyojengwa kuwa Misingi ya misaada. Inapokea misaada na kutoa misaada. Imeandikwa kuwa njooni mliolemewa na dhambi… hivyo hata misaada michafu inapokelewa katika kanisa.

Mwisho, rafiki wa kanisa si muumini ila anayetoa zaka au vipaji kwa wakatoliki. Tajiri si lazima awe anasali jumuia ili azikwe na Padre, michango yake kwa kanisa inatosha tu. Kanisa halijatenda kosa kupokea hela ya Samia. Hata Tundu Lissu akipeleka, litapokea tu. A very good morning
 
Wewe ni MPUMBAVU, POPOMA, KUBWA JINGA BWABWA la P Diddy.

Hujui tofauti ya kulalamika, na ku ALERT🤔

Mimi naandika kuwa Kanisa like pembeni na pesa chafu!!!

Natoa ushauri bwa project ambazo Kanisa linaeeza kuomba,badala ya pesa hizi chafu!!!

Wewe UKADA WAKO WA CCM Umeweka kipaumble kuliko Hadhi ya kanisa.

sasa papa, UJINGA WAKO MKUBWA ni huelewi kuwa dini ya kkirsto ililetwa Afrika na wazungu!! Papo hapo unashangaa kuwa papa kwanini mzungu,???

Wewe ni kati ya watoto waliozaliwa kwa wazazi ambao WALIPASWA WAFUGE NGURUWE Kuliko kutumia vibaya MANII zao kuzaaa KUBWA JINGA kama wewe 😀😀🤔🤔
Kwa maneno yako haya hata post yako haina maana tena. Kwa lugha yako chafu huna moral authority kulisemea kanisa, hebu kajipange upya, wakatoliki hawako hivyo, rudi kwa aliyekutuma.
 
Back
Top Bottom