Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

Status
Not open for further replies.
Magufuli muweke kundi la kina Nyerere.He was a visionary leader ila alizungukwa na wajinga wengi walioshindwa kumuelewa,the same kwa Mwalimu Nyerere alikuwa visionary ila alikosa watu wa kuelewa anataka nini!
Watu kama Magufuli huwa tunawaita "Situational leaders",anaikuta nchi ipo ovyoovyo then anatoa direction!
 
[emoji1787][emoji1787] japo umeandika ukweli ila sijui kwanini umenichekesha.
 
Sijui kwa nini baadhi ya watu au karibu wengi wetu hufurahia wenzetu kuachishwa au kufukizwa kazi.

Ninajua kabisa kwamba, yako mazingira na pia sheria zinaelekeza hayo kufanyika. Lakini utaratibu huu hasa katika nafasi ambazo ni za kijamii au kitaifa unapaswa ufanyike kwa umakini wa hali ya juu sana.

Kwa nini ufanyike kwa umakini wa hali ya juu sana? Kwa sababu yako mambo hayafanyiki inavyotakiwa kuwa; kutokana na sheria na mfumo. Kwa hiyo katika mazingira hayo, utaona kwamba kuna matatizo mawili. Tatizo la kwanza ni sheria na mfumo na tatizo la pili ni nani aliye na mamlaka ya kubadili sheria ambazo kwazo huweka mfumo.

Sasa wakati tunafikiri kwamba fulani hafanyi inavyotakiwa katika sekta yake ni, pia tufikiri sheria na mifumo yetu ipo kama inavyotakiwa kuwa?

Na au ni mara ngapi katika historia ya nchi yetu tangu uhuru, tumesikia watu wakifukuzwa au kuachishwa kazi? Na je baada ya hayo yote kufanyika mambo yameenda kama inavyotakiwa kuwa?
 
Nasikia Cyprian Musiba nae anaweza kuukwaa uwaziri 😉 😉
 
Haisaidii chochote sisi tuna taka kubadili mfumo huu mbovu
 

Wizara ya ujenzi Angefaha Ridhiwani kikwete
 
Tatizo sio kubadilisha watu tatizo ni kudeal na mfumo

Hizi nguvu angezitumia kuboresha Sheria na kuleta katiba mpya

Watanzania ni wale wale tu wote weziwezi na wajanja wajanja!!

Nchi ya watu wa hovyo!!!.
Mheshimiwa Pascal Mayalla Leo ametufundisha aina Tatu za viongozi. Tuamue tunachagua aina ipi ya viongozi kushughulikia kero ulizotaja!!
 
Kengele ya Kwanza hio, niongezee dakika 2
 
Amekosea nini mapero
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…