Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kwamba Mtwara kutoa shule 9 zenye sifuri nyingi,wakitoa wastani wa shule zote za mtwara wanaweza kuwepo kwenye top 15/26?Wewe hujamuona RC alivyomtolea mimacho Msonde?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Mtwara kutoa shule 9 zenye sifuri nyingi,wakitoa wastani wa shule zote za mtwara wanaweza kuwepo kwenye top 15/26?Wewe hujamuona RC alivyomtolea mimacho Msonde?
2016 ni hiziHaya matokeo ni ya 2016 siyo 2020. Wewe ni utopolo sana!
Spana after Spana 🔧🔧🔧Basi watuwekee walioshika mkia ili tuendelee kuwapa za uso.
Kwanini mkuu?!
Mwisho tutajua nani muongo kati ya Msonde na RC!Link hii haa ni matokeo ya SHULE YA SEKONDARI LUKOKODA inayosemwa na NECTA kuwa ni ya mwisho wakati kimkoa ni ya 27 kati ya 33 na kitaifa ni ya 737 kati ya 986 (kundi la shule zenye wanafunzi chini ya 40)
Madudu ya NECTA hyao.
MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Nasikia ufaulu ni 85%,,matokeo kwa ujumla ni mazuri tu...Watuambie sasa ni mkoa gani ulioshika mkia? Lazima awepo aliyeshika mkia, msituletee siasa.
Tatizo sio necta,bali itakua hackers wameingiza hicho kipande cha shule 10 za mwisho mwisho..Link hii haa ni matokeo ya SHULE YA SEKONDARI LUKOKODA inayosemwa na NECTA kuwa ni ya mwisho wakati kimkoa ni ya 27 kati ya 33 na kitaifa ni ya 737 kati ya 986 (kundi la shule zenye wanafunzi chini ya 40)
Madudu ya NECTA hyao.
MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Hii ni baada ya waziri mkuu kuwafokea kwani inautia aibu mkoa alikotokaBaraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne.
Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kama necta hawataji shule 10 na mkoa wa mwisho basi hizi hizi ndo tunaendelea kuzitambua kama za mwisho maana Hamna mbadala wake.Nimeamua kufanya fact check ili kujiridhisha na hiyo orodha uliyoiweka hapo juu (iliyosambaa mitandaoni)...
Aah basi sawa, sikupingi mkuuKama necta hawataji shule 10 na mkoa wa mwisho basi hizi hizi ndo tunaendelea kuzitambua kama za mwisho maana Hamna mbadala wake.
Hii ni baada ya waziri mkuu kuwafokea kwani inautia aibu mkoa alikotoka
Kuwa wa mwisho hakuna shida kabisa, kwenye mtihani ni lazima wa mwisho awepo.Nashindwa kuelewa mtu anadhalilikaje kuwa wa mwisho.
Kwenye mtihani lazima kuna wa kwanza na wa mwisho..