Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa

Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu

Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida

Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6 mitihani kufanyika, ambapo watoto Huwa wanapewa majibu na kuyaimba na kuyakariri na hivo kuwapa alama za juu

Hivo inakuwaje darasa la wanafunzi 70 wa form kupata 1.7 kila mmoja, hiyo mitihani Huwa ina assess Nini?

Kuna mbinu nyingi nyingine nitakuja kuzikemea hapa Jamii forums nikipata muda
 
Kama hujazitaja shule za wahaya akiwemo yule mbunge wa maika mingi kule bukoba bado hujasema

USSR
 
Kuna askari wa doria mitandaoni na Sasa wana tabia za kutufuata PM kutupiga mikwara
Ila huu Uzi upo kuisaidia serikali kufanya tathmini juu ya uadilifu wa necta
 
Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa

Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu

Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida

Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6 mitihani kufanyika, ambapo watoto Huwa wanapewa majibu na kuyaimba na kuyakariri na hivo kuwapa alama za juu

Hivo inakuwaje darasa la wanafunzi 70 wa form kupata 1.7 kila mmoja, hiyo mitihani Huwa ina assess Nini?

Kuna mbinu nyingi nyingine nitakuja kuzikemea hapa Jamii forums nikipata muda
Wameshajisahaulisha enzi za feki,acha irejee baada ya kufyeka nyasi kijani.
 
Sasa yy anataka watu wafeli ili ajue necta wanafanya kazi ukimuuliza anakwambia nakudharau ss ukimdharau mtu ndo nn pumbavu huyu
Kataa kama hakuna wizi na udanganyifu katika mitihani uliokithiri
 
Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa

Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu

Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida

Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6 mitihani kufanyika, ambapo watoto Huwa wanapewa majibu na kuyaimba na kuyakariri na hivo kuwapa alama za juu

Hivo inakuwaje darasa la wanafunzi 70 wa form kupata 1.7 kila mmoja, hiyo mitihani Huwa ina assess Nini?

Kuna mbinu nyingi nyingine nitakuja kuzikemea hapa Jamii forums nikipata muda
Una hoja usikilizwe
 
Back
Top Bottom