Mimi ningekua waziri...au watu wa usalama wanaohusika na hayo mambo..naandaa jopo la watu kumi nje ya lile linalotunga mitihani..na wao wanatunga mitihani..halafu lile lililozoeleka kutunga hizo pepa tatu kwa kila somo wanatunga nao kama kawaida...ila mitihani itakayotoka ni ya hili jopo la siri lillikula kiapo cha damu iwapo watakiuka ama kutoa siri..hivyo mitihani itakayofanyika ni ya jopo la siri..na hata kuchapisha inachapishiwa nje ya nchi...Hapo huo mwaka watu lazima chupi ziwabane..manake kitu kikitoka kinakua tofauti na kile walichonunuaššš..mamaeee..yani mwendawazimu kama mimi walahi hiyo secta ingenifaa sana..sema tu ndio if wishes were horses , beggar would ride