Ona hii nyumbu "kuna tetesi". Kwani wanafunzi wanafundishwa ili wasipate one? Acheni elimu yenu ya kizamani ya kukomoana. Nyumbu wengi ni sadist sana.Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa
Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu
Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida
Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6 mitihani kufanyika, ambapo watoto Huwa wanapewa majibu na kuyaimba na kuyakariri na hivo kuwapa alama za juu
Hivo inakuwaje darasa la wanafunzi 70 wa form kupata 1.7 kila mmoja, hiyo mitihani Huwa ina assess Nini?
Kuna mbinu nyingi nyingine nitakuja kuzikemea hapa Jamii forums nikipata muda
Unataka kusema sisi wa enzi hizo tulikuwa vilaza kuliko hichi kizazi cha Gen Z? Ukiangalia thinking capacity ya Gen Z na ile ya kizazi cha kabla ya Gen Z unataka kusema Wana uwezo kuliko?Huyo mjinga akitaka kujua watoto wanasoma
Atafute past paper ya mwaka 2000 ampatie mtoto aliyepata 1.7 form four then aone Kama hiyo paper hatoigaragaza
Je nyie ambao mna good thinking mmeleta mabadiliko Gani ?Unataka kusema sisi wa enzi hizo tulikuwa vilaza kuliko hichi kizazi cha Gen Z? Ukiangalia thinking capacity ya Gen Z na ile ya kizazi cha kabla ya Gen Z unataka kusema Wana uwezo kuliko?
Hata kama wanafaulu ila sio kiivyo Kuna mahali NECTA wanacheza na matokeo sio bure.
Muongo wewe shule alianza na umri gani?Vijana wanasoma Sana na teknolojia imekuwa kuna mdogo wangu Ana 16 yrs kapiga 1.4 form six
We endelea kukariri nakuonea hurumaMuongo wewe shule alianza na umri gani?
Ndo ivo KabisaKwamba watu wanatoa mzigo lets say M20..wanakua na mzigo six month before..halafu wanaanza kuchukua maswali machache na kuyatoa as an exercise au test..na kuyarudia rudia maswali na mitihani hiyo kwa muda mrefu na kufanya masahihisho mara kwa mara...IM SORRY NILIKUA NAOTA
Sio kweli. NECTA ni wasafi na weupe kama theluji.Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa
Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu
Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida
Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6 mitihani kufanyika, ambapo watoto Huwa wanapewa majibu na kuyaimba na kuyakariri na hivo kuwapa alama za juu
Hivo inakuwaje darasa la wanafunzi 70 wa form kupata 1.7 kila mmoja, hiyo mitihani Huwa ina assess Nini?
Kuna mbinu nyingi nyingine nitakuja kuzikemea hapa Jamii forums nikipata muda
Pole nadhani wewe ni mgeni hapa TanganyikaSio kweli. NECTA ni wasafi na weupe kama theluji.
NECTA wapo makini na hawana Kona Kona miongoni mwa taasisi za serikali makini na safi hakuna kama NECTA.
wizi upo Kwa kiasi chake nao hufanyika shuleni kupitia wasimamizi na shule husika ila NECTA ipo macho vibaya mnoo.
Boss wewe ndio mgonjwa, sasa unataka nikubaliane nawe hata kama ni uongo.!!Wewe unaumwa kichwa na hujitambui
NECTA NI WASAFI NDUGU KULIKO HATA MOYO WAKO.Pole nadhani wewe ni mgeni hapa Tanganyika
sasa hapo kosa la NECTA lipo wapi ?Huu ndio ukweli...wazalendo fanyieni kazi wahuni wasivujishe mitihani...ningetoa kisa kimoja cha jamaa yangu yumo humu ..alipewa enzi akisoma..na akafaulu combination ngumu..kwenda shule advance akabadili baada ya kuona ile combi itamuoa...hiyo michezo ipo sana..kama taifa tutazalisha wanafunzi legelege