Kama hujazitaja shule za wahaya akiwemo yule mbunge wa maika mingi kule bukoba bado hujasemaUadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa
Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu
Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida
Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6 mitihani kufanyika, ambapo watoto Huwa wanapewa majibu na kuyaimba na kuyakariri na hivo kuwapa alama za juu
Hivo inakuwaje darasa la wanafunzi 70 wa form kupata 1.7 kila mmoja, hiyo mitihani Huwa ina assess Nini?
Kuna mbinu nyingi nyingine nitakuja kuzikemea hapa Jamii forums nikipata muda
Kuna askari wa doria mitandaoni na Sasa wana tabia za kutufuata PM kutupiga mikwaraKama hujazitaja shule za wahaya akiwemo yule mbunge wa maika mingi kule bukoba bado hujasema
USSR
Wameshajisahaulisha enzi za feki,acha irejee baada ya kufyeka nyasi kijani.Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa
Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu
Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida
Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6 mitihani kufanyika, ambapo watoto Huwa wanapewa majibu na kuyaimba na kuyakariri na hivo kuwapa alama za juu
Hivo inakuwaje darasa la wanafunzi 70 wa form kupata 1.7 kila mmoja, hiyo mitihani Huwa ina assess Nini?
Kuna mbinu nyingi nyingine nitakuja kuzikemea hapa Jamii forums nikipata muda
Sasa yy anataka watu wafeli ili ajue necta wanafanya kazi ukimuuliza anakwambia nakudharau ss ukimdharau mtu ndo nn pumbavu huyuVijana wanasoma Sana na teknolojia imekuwa kuna mdogo wangu Ana 16 yrs kapiga 1.4 form six
Huyo mjinga akitaka kujua watoto wanasomaSasa yy anataka watu wafeli ili ajue necta wanafanya kazi ukimuuliza anakwambia nakudharau ss ukimdharau mtu ndo nn pumbavu huyu
HahahahaSasa yy anataka watu wafeli ili ajue necta wanafanya kazi ukimuuliza anakwambia nakudharau ss ukimdharau mtu ndo nn pumbavu huyu
Bado Ni Wasiwasi Wako Tu....Au siyo
Wizi ulikuepo tangia zamani ila acha chuki dhidi ya vijana wanaojipigia 1.7Kataa kama hakuna wizi na udanganyifu katika mitihani uliokithiri
Una hoja usikilizweUadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa