Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

Madogo wanaingia tiktok usiku wa manane hadi vitanda vya bwenini vinakua vinaonekana,lakini hao ndiyo wanapasua pepa kinomanoma.Elimu ya makaratasi imekua ize sana.
 
Ona hii nyumbu "kuna tetesi". Kwani wanafunzi wanafundishwa ili wasipate one? Acheni elimu yenu ya kizamani ya kukomoana. Nyumbu wengi ni sadist sana.
 
Huyo mjinga akitaka kujua watoto wanasoma

Atafute past paper ya mwaka 2000 ampatie mtoto aliyepata 1.7 form four then aone Kama hiyo paper hatoigaragaza
Unataka kusema sisi wa enzi hizo tulikuwa vilaza kuliko hichi kizazi cha Gen Z? Ukiangalia thinking capacity ya Gen Z na ile ya kizazi cha kabla ya Gen Z unataka kusema Wana uwezo kuliko?

Hata kama wanafaulu ila sio kiivyo Kuna mahali NECTA wanacheza na matokeo sio bure.
 
Je nyie ambao mna good thinking mmeleta mabadiliko Gani ?

Hivi Gen Z wanakosa gani kupiga A Kali au ?

Tafuta mitihani ya mwaka 2000 mpatie dogo anayesoma Leo uone Kama hiyo paper hapati A.
 
Ndo ivo Kabisa
Na vile hakunaga Siri baadhi ya maswali huanza kusambaa shule zetu za Kajamba nani,
Baadaye paper likitoka linakuwa wazi kama uchi wa mbuzi
 
WAlahi naweza..im sure hundred 100%...mimi.jobless...chamsingi nipewe kinga na chuma..nianze kusema nao
Humo Kuna mapapa yatakumeza
Ukisikia hizo shule kila mwaka zinaimbwa Kwa mbwembwe ati zipo top 10 usidhani ati ni mchezo
L
 
Akuna hiyoo watoto wanaandaliwa vzuri nakumbuka kipindi chetu tunauwasha moto pale mji kasoro maji.
Tulipigwa sana zengwe kuwa tunavujishiwa paper ulinzi uliimalishwa viunga vile mwisho wa siku awakulamba chochote na tulinyoosha kama kawaida necta
 
Sio kweli. NECTA ni wasafi na weupe kama theluji.

NECTA wapo makini na hawana Kona Kona miongoni mwa taasisi za serikali makini na safi hakuna kama NECTA.

wizi upo Kwa kiasi chake nao hufanyika shuleni kupitia wasimamizi na shule husika ila NECTA ipo macho vibaya mnoo.
 
Pole nadhani wewe ni mgeni hapa Tanganyika
 
Wewe unaumwa kichwa na hujitambui
Boss wewe ndio mgonjwa, sasa unataka nikubaliane nawe hata kama ni uongo.!!

Serikali siipendi na Wala sijawahi kuipenda serikali ya CCM yeyote Ile ila NECTA nitaitetea mpaka naingia kaburini, wale jamaa wapo safi kama theluji hata moyo wako ni mchafu ila sio wale NECTA.
 
sasa hapo kosa la NECTA lipo wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…