Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

Private school ni biashara sasa wakifelisha sana nani atapeleka mtoto😁
 
Huwa zinatungwa sample 4 za kila somo na kwenye hizo Huwa linatoka paper 1 ila hizo samples zote unakuta Kuna wababe wanakuwa nazo Toka mwanzo tu
 
Hakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…