PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kwahiyo asipokula chakula itasamsaidia nani sasa kwa mfano ndugu zangu
 
Katika vitu vinavyoshusha uwezo wa akili kufanya kazi ni kupenda kula kula.

Kuhusu Mwandiko sio wa Lissu.

Lakini kwa Mimi ninayesoma sana maandiko yake na hotuba zake za kitaifa na kimataifa hizo Lugha ni za Lissu 100%
Aliyeandikwa, atakuwa alirekodi maongezi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…